Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,517
- 46,374
Acha kumfundisha uoga wewe,hakuna Mtumishi wa Mungu Sampuli hii huyo ni Wakala wa Shetani.Epuka kuwanenea mabaya watumishi wa Mungu hata kaka wamefanya mabaya kwako-ila waombee,kumbuka ishu ya Daud na Saul