The Bold: Shukrani Wakuu

tetesi zilizonifikia mezani kwangu kumbe na wewe ni " mwanaidara ". najua idara itakuwa inajivunia uwepo wa vijana " imara " kama wewe. hongera mdogo wangu.
Leo "umejisahau" nilikugundua kitambo sana
Na kwa mwandiko huu ndo nimethibitisha bila shaka kuwa ww ndo GENTA na hiki kiID chako unatumiaga kuja kule KF kutukana
Njia ya mwongo fupi

[emoji117] FEKELO 100%
....................
 
Story yenu inasisimua kwakweli never say never....

Hongereni sana na Mungu awajalie ktk mahusiano yenu my dear

Msinisahau kwenye card ya mwaliko tu jamani
 
Mkuu mimi sio ndugu The bold ,lakini mimi pia ni "mwanafunzi" na "mfuasi" mkubwa wa huyu jamaa,mpaka "kijiweni" kwangu kuna mtu huwa anadadavua mambo mpaka tumempa jina la The bold

Note:Nje ya JF mimi ni mtu mkimya sana,naongea kwa nadra sana
Hupati changamoto na huo ukimya wako?
 
Hapana Valentina sijawahi kukutana na hali hiyo
Mkuu barafu, heshima kubwa sana kwako.. Nimejifunza mengi sana kupitia nyuzi zako na michango yako kwenye nyuzi mbali mbali! Naamini JF yote inajivunia kuwa na mtu wa kaliba yako humu..

Naamini 2017 utaendelea kuwa kwenye ubora wako na kutuletea vitu adhimu..

Salute Mkuu..
 
Pamoja sana Mkuu! Shukrani sana..
 
Leo "umejisahau" nilikugundua kitambo sana
Na kwa mwandiko huu ndo nimethibitisha bila shaka kuwa ww ndo GENTA na hiki kiID chako unatumiaga kuja kule KF kutukana
Njia ya mwongo fupi

[emoji117] FEKELO 100%
....................
Hhaha Genta ni kwere ana Id kibao
Nataja initials ya hizo id zake

E1
CK
CB
LB
BR
GM

Zingine ngoja niziache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…