The Bold: Shukrani Wakuu

Hahahahah!! Mkuu Yamakagashi una vituko sana aisee..
Nakukubali sana Mkuu, salute
Ujue hapa nafanya masihara ila in real sense nafurahia sana mahusiano yenu ,Mungu awabariki kuna siku Niffah atajua kwanini nilikuwa nafurahia mahusiano yenu ,ataishia kucheka tu
 
Unajuaga vile mtu unakosa the right words kuexpress kile unataka kusema.. Ndio niko kwenye situation hiyo.. Sipati neno la kukwambia..

Thank you beautiful!
 
Naheshimu sana unachokifanya. Uandishi ni tasnia ngumu sana, unaweza ukawa na kipaji ila kama huna content utaishia kuandika madudu, unaweza ukawa na content ila huna kipaji cha uandishi pia utaishia kuandika madudu tu.

Kipaji ni baraka huwa kinakuja tu ila content ni kitu kinachotafutwa ... unatakiwa kusoma sana ila ukitumia nguvu kubwa katika kusoma tu pasipo kushirikisha ubongo wako katika kufikiri nje ya box basi pia utaishia kuandika madudu tu.

The bold, una kipaji, una soma sana (hili liko wazi katika makala zako) na zaidi unatumia ubongo wako vizuri katika kufikiri kwa kina kile ukisomacho ili ukiwasilishe vyema.

Siku ile nilikuita taasisi, ni kweli wewe ni taasisi....
kwangu unashika nafasi ya pili maana nafasi ya kwanza aliitwaa kiranga kitambo sana.
 

Shukrani sana Mkuu! I will look into that (Abbuu Nidal)
 
Ujue hapa nafanya masihara ila in real sense nafurahia sana mahusiano yenu ,Mungu awabariki kuna siku Niffah atajua kwanini nilikuwa nafurahia mahusiano yenu ,ataishia kucheka tu

Amen! Shukrani Mkuu..

"Kuna siku Nifah atajua kwanini nilikuwa nafurahia mahusiano yenu, ataishia kucheka tu" [emoji35] [emoji35] [emoji35]

(Una maana gani [emoji15] [emoji15] )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…