Mkuu, jamaa amemaanisha kuwa huyo kwenye picha ni mtoto tu kati ya hao wadudu, MKUBWA kabisa aliyewahi kupatikana alikuwa na UZITO wa TANI 200 jumla, moyo wake ni nusu tani, damu ni tani sita na anakula tani nne kwa mlo wake. Sidhani kama hiyo truck ingehimili, huyo ndo BLUE WHALE anayemsemea hapo mkuu!