Kuna kaushamba flani hivi kwa waafrica kuamini kuwa kitu kinachouzwa bei ghali ndo kizuri!!
Ukitaka kuwapata fanya hivi
Nenda China kanunue perfume ambayo ukija kuuza kwa bongo hata 30,000 bado utapata faida afu we itangaze kuwa inauzwa laki 8 kisha baada ya mda tangaza sale kuwa sasa unauza kwa 250,000/= ila ni ofa ya mwezi mmoja tu then itarudi kwenye 800,000/=
Utauza mpaka za store!!