Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
Wakuu nilikuwa natumia symbian phone ilikuwa ina video editor nzuri tu ila sasa hv nimehamia kwny ulimwengu wa android je naweza kupata the best video editor au hata ya kucreate video ile ambayo unaweka picha zako kwa mfumo wa video then unaingizia sauti,Msaada tafadhali kwa anayejua