The best smartphone 2017... Samsung galaxy S8

Mi naonaga price ya A series ni bora zaidi ukajiongeza kwenye S series....

A7 ya 2017 ni nzuri pia japo sio flagship
Yeah ni kweli.

Sikuwa na bajeti ya kununua flagship 2 kwa sasa. Japo ni kweli, ningeongeza 700K ningepata hiyo S8 Plus.
 
mtoa mada unachuki inafsi na iphone,,,
by the way i love iphone...na itabaki kua cm ya kipekee no matter wat..
Mkuu ninayo pia IPhone X nimeipata jtatu ya wiki hii... napenda sana samsung na IPhone
 
Hivi ni kwanini wateja wa apple huwa mna mitizamo ya ajabu sana!!!ana chuki na iphone kivipi wewe unaweza kuwa na chuki na kifaa kisichopumua??
Hapo sasa
 
Waache wamiliki waleeeee......mi napambana na hii hapa
 
Hivi iPhone X iko arround bei gani kwa sasa?
 
Nokia ndio walionanzisha hii idea ya simu na computer kutumika pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…