hizo zote tatu ni high end phones na zote ziko vizuri kwa upande wa specs...ila kilichonifanya kuiweka lg v30 kuwa ya kwanza ni jinsi walivyoweza kuoptimize matumizi yake ya battery...ukichunguza video nyingi zinazo onesha battery drainage comparisons kati ya hizo simu hapo juu lg v30 imekuwa ikishika no 1...
S8 nimeiweka ya pili kwasababu ya designing yake plus specs ,ijapokuwa kwa specs hawajaachana na v30..designing iliyonivutia ni jinsi walivyoweza kuzipunguza zile bezels bila kualter performance yake.
google pixel 2 XL nimeiweka ya tatu kwa ajili ya camera , S8 iko poa kwenye camera ila kwa selfie hamgusi huyu jamaa. (waweza fuatilia comparisons zilizoko mtandaoni ujionee hizo picha zilizopigwa na hizi simu)...
ONE plus 5T nimeikubali cuz haiko kwenye makundi ya price ya hizo simu tatu nilizozitaja hapo juu ila inakupa specs na performance karibia na hizo hapo juu naweza sema kwa asilimia 88% - 94% ....hata pia nashangaa kwanini mtu anachanganyikiwa na iphone X wakati hata huyu ONE PLUS 5T anaweza kupa performance nzuri kuliko iphone X ....
binafsi naona ni kejeli kufananisha (S8 , google pixel 2 au lg v30) na iphone X
mtazamo tu , sio sheria.