The best revenge is to move on

Pole sana
 
Inategemea na utamu wa mahaba tuliyokuwa tukipeana vinginevyo kiporo kitaendelea kupashwa na kuliwa tu
 
Demu akizingua,mwache aende zake... nenda kwa babu.. mpe chupi yake moja atamtengeza period mwaka mzima,au anavimba miguu au kichwa kinauma mwaka mzima... Mamaye uchawi upo ila hadi umupatie... yahitaji timing ya hali ya juu sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeifanya hii kwa mpenzi wangu alikuwa ananisumbua sana, toka zamani sababu ya tofauti kubwa ya umri alijiona anaweza kunichezea atakavyo. Leo mwezi wa 4 toka nimemgeuzia mgongo, anaandika sms sijibu, nimemblock zake zote, anatumia namba za watu kutaka kurudi. Maana aliniambia amepata mchumba anataka kumwoa nikamwambia kila la heri, alizoea kuniambia the same statement, nlikuwa napambana kuhakikisha navunja mahusiano yake mapya nasamehe tunaendelea. Nimekata misaada yote, bad enough nlikuwa namsomesha chuo nalipa ada, matumizi na kila kitu, kwao wanajua amekuja mjini kufanya kazi. Kumbe anasoma chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikawaje tena mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…