Taking this debate to another angle. Nimeona mara nyingi kwenye graduations za vyuo vikuu vya marekani kwa kawaida mgeni rasmi anakuwa the best in his/her respective industry. Kwa kwenye industry ya filamu unakuta watu kama akina Washington ndio wageni rasmi. Na speech zao kwa kweli zina motivate the the new graduates hasa jinsi watakavyoitumia elimu yao for the betterment of the world in general and their country in particular.
Labda imefika wakati na sisi badala ya wageni rasmi kuwa wanasiasa tuu, kuwe na wageni rasmi ambao ni the best in their respective industries. Lakini ubovu wa kwetu, hasa kwenye industry ya entertainment, wengi wao sio graduates. Lakini kuna fani nyingine ambazo kuna watu wana elimu ya degree na wamefanikiwa sasa. Otherwise, tutaendelea kuwa na graduates wanaoishia kuwa wanasiasa.
Kwenye hii video clip speech ya Washington aliyoitoa at the University of Pennsylvania's 255th graduation. It was not the best speech kama tulizoea kwenye filamu zake lakini was good. Ana B.A in Drama and Journalism from Fordham University in 1977.
..Nimesoma page ya kwanza ya thread hii na sijaona mtu anataja "Inside Man"! Kweli watu wanapenda mabunduki, damu na marisasi! Kwangu mimi, hii ni muvi kali kuliko zote nilizowahi kuangalia!
I like this post.... Hili ni wazo zuri kabisa.... Ila kama ulivo sema wengi sio Graduates... BUT in a small and young nation there could be Exceptions.... Depending on the Reputation ya huyo msanii kuja weza toa tuzo.
Jamani Sooth you could have atleast gone 3 pages.... Kuna watu kama four if am not mistaken wametaja hii movie pamoja na mimi mwenye and I have it in my collection. But really umeangalia movie zote za Denzel? Kwamba ndio kali kuliko zoote...
book of eli ndio the best for me, jamaa ana akili sana ya kuongea.