Movie yake ya kwanza kuiona ni ile ya Steve Biko. Ni moja ya movies chache nzuri nilizoziona nikiwa kijana mdogo sekondari zikashape my thinking. Hata hivyo kuna nyingine I have forgotten the name, alikuwa kama bodyguard wa mtoto wa tajiri mmoja Mexico. That was also brilliant
Ndahani a movie like that I can only watch once na I remember every detail.... Nimeiangalia naona kama 7 years ago, but I still remember nililia pale walipopokea T-shirt yenye picha yake (Biko) kana kwamba za campaign alafu mtoto mmoja akavaa... hapo hapo akatoka vidonda mwili mzima.... Na sitakuja sahau pale mahakamani.... anapohojiwa.... Aliuzwa
Interrogator: Why do you call yourself black while you are brown?
Biko: Why do you call yourself white while you are quite pink?
I loved that part.... Hapo ndipo nilipomjua Biko, na ku reaserch kuhusu huyo mwanaharakati....
Boss amekua adimu.... Itabidi nimtaarifu atie team! lol
AD, I can't remember all the details but the imagination I had, had alot of impact on the way we pursue our life goals. Kilichoniumiza roho ni jinsi alivyokufa...na kilichonifurahisha ni jinsi Donald Wood alivyokimbia South Africa. Sincerely the only story I know about Biko ni kutokana na ile senema. Pengine will have to buy a book inshallah!
Sasa kwani nasema uongo?hahahha.... C'mon Man!!! lol
As a matter of fact huyo wa Ghost Protocol ndie favorite wangu.Nipe top five yako.... BTW Swali la kizushi: katika all the Mission Impossibles ni dada gani alikuvutia Acting? Hapa nataka nipate jibu kati ya hao woote if Ghost Protocol has the Best Actress...
Ambitious... Please tell me your favorite part kwenye ile Pelham....
Mkuu ule sasa ndio u gangster si kuvaa suruali chini ya makalio au kujichorachora mwili tu alafu the movie is based on a true story so tumia akili yako kujua nini kilimaanishwa....."sometimes we do not need brain surgeries to understand things"
As a matter of fact huyo wa Ghost Protocol ndie favorite wangu.
She was on top of it mwanzo mwisho, a real James Bond Girl type.
Kwa top ten yangu itabisi nipange kwanza, sijafanya hilo zoezi...
Kuna kitu kinaitwa Out of Time ni balaa and it's mine of all time!
The way Denzel alivyoweza kuhandle ile situation.
Pale mwanzoni ile conversation iliniweka alert movie nzima.
Denzel:Who is this?
Travolta:Am the guy who's gonna give the city a run for money.
Denzel:Alright.
Travolta:What is the price is a hostage in New York this morning.What do you think??A million $ a piece is too high.
???
Denzel:Am not a hostage negotiator,am a civil service employee.
And that is where the action and mind games started.
Nairudia tena hii movie yaani nimeitenga muda mrefu,this acted like an appetizer.Naitafuta kwenye files zangu.
Uganster gani ule kaka? Na ninaposema ugangster simaanishi kuvaa suruali chini ya makalio au kujichora mwilini. Thats is not being a gangster. American Gangster could have been better kama the main character angekuwa mtu mwingine kama Samwel Jackson hivi.
Surely, huwezi kuiweka American Gangster kwenye kapu moja na filamu kama Good Fellas, Mean Streets, Casino, The Departed (though not actually a gangster film), Miller's Crossing, The Untouchables, Reservoir Dogs, Carlito's Way, Scarface, Once Upon a Time in America, Pulp Fiction, Cidade de Deus, n.k.
American Gangster haipo hata kwenye the top 20 gangster films. Watu wengi akiwemo mimi nilienda kuingalia kwa sababu ya jina la movie, but haina mshiko kama movies nyingine. Ni true story lakini hata Good Fellas and casino are based on true stories pia lakini are the best.
You're such a funny guy.
[video=youtube;E84VqqCPI7w]Goodfellas - Funny How Scene - YouTube[/video]
Looking at Denzel I get this feeling that I Have Nothing and he has everything.
By the way,being a sucker for court thrillers I won't forget Denzel's role in Philadelphia.
Nimeamini kweli this is one of your BEST..lol.. Umeleta Godfellas Nimekumbuka the Discussion we had in a Thread ya Voice of Reason (I miss the guy); Boss, You and several others... na kila mtu alikubali kua hio ni one of the all time best gangster movie... Hapa hadi nimemmiss The Finest and Eqlypz.