Kuna kitu kinaitwa Out of Time ni balaa and it's mine of all time!
Ipi inafuata Pay God?
Umenikumbusha hapo aisee... hata mimi mawazo yangu ni kua atafanya kitu ambacho kiko ndani ya uwezo wake... Sikufikiria nyumba for ilikua imeshagusiwa kua iko out of question tokana na kwamba alikua hana vigezo vya mikopo kutumia nyumba yake....
I love ile part Mwishoni... hasa toka pale inakua inafuatiliwa na the whole nation, na the way alijieleza ku justify (hasa pale alipoonesha anataka ku surrender kumbe sivo).
I Love that movie... Yupo na Eva Mendes na Sanaa... Inaonesha the way Love (in this case sijui niseme infatuation??lol) ina play part kubwa katika utendaji wa kazi...
Hasa toka pale alipogundua kua he has been played!
Pia mimi niliipenda sana ile part, afu kuna sehemu alienda kuomba atangazwe anaomba msaada kwenye media lakini walimkatalia bt yule yule aliyemkatalia ndo alikuwa wa kwnza kufuatilia after he rob tha hospital.
Yah, pia ni movie nzuri sana, kuna kitu ningependa kujua kuz baada ya movie ya Training Day wakati anapata tuzo ya Oscar alisema kuna mama alimtabiria kuwa atakuwa star siku za usoni alipokutana nae hospital akiwa na wazazi wake. Hii kitu ni ukweli au ni manjonjo yake tu??
Anti utanishangaa but I don't like Denzel... :thinking:
Ingawa namkubali, he is a great actor,
na akicheza movie sio zile za stereotype of an African American.
Almost zote hizo zinazo tajwa nimeziona.Kweli nimeshangaa niece....
Movie gani yake umewahi angalia? Nayo yaweza kua determinant factor ujue.....
Almost zote hizo zinazo tajwa nimeziona.
Hivi kuna mtu alitaja 'deja vu'? Nilimpenda sana yule dada (Paola Patton)
Amecheza mission impossible IV, Ghost Protocol...
Well, there is no doubt that he is a great actor... but not one of my favorite. hata top ten yangu nadhani hayumoI wonder ni jinsi gani nilisahau "deja vu".... I love it, love it, love it.
Hainichoshi kabisa!! Napenda the Lady too, Ila bado sijaona hhio Mission Impossible IV,
Looking forward to it maana niliko hakuna access ya new movies....lol
Sasa kama umeweza sit down and watch all the Movies na humpendi, then certainly you appreciate him....
Well, there is no doubt that he is a great actor... but not one of my favorite. hata top ten yangu nadhani hayumo
Hellow wana JF...
Denzel Washington ni moja wa Holly Wood Acters napenda saana.
Do your share my Like/Love of him?? If YES Picha zake zipi kwako
wazipenda? Scene gani? Quote gani? Nafasi gani wapenda zaidi?
Na movie gani bora zaidi kwako? Alochemka? Na the Like.....
Among the Movies I love are:
The Bone Collecter
Pelham 123
The Pelican Brief
John Q
The Siege
Pamoja Saana.
AshaDii.
I love Denzel and all of his movies....sijawahi kuwa disappointed na movie zake. Zingine nazipatia hapa hapa kwenye thread nazidownload niangalie baadae.