The best novel

The best novel

James Hadley Chase ... nimesoma zaidi ya 54 ... nikaachana nazo nikaziona za kitoto ... maana Novo 1 nilikuwa nasoma 5-6 hrs

Chase mie huwa nasoma safarini tu kwa sababu zinapatikana kirahisi Ubungo halafu mwisho wa safari unakuwa umemaliza kuisoma.
 
Ken and Abel, Prodigal Daughter
Papilon, Valachi Paper, Day of the Jackal, Odessa File, Fourthy Protocol, Burned alive na One bright Summer Morning ya James Hadley Chase

Umenikumbusha mbali na Ken and Abel. Jamaa ana nyingine inaitwa As the crow flies, ni nzuri kiasi chake ila kubwa kishenzi.
 
Chase mie huwa nasoma safarini tu kwa sababu zinapatikana kirahisi Ubungo halafu mwisho wa safari unakuwa umemaliza kuisoma.

Chase nasomaga safarini kwa sababu Ubungo Terminal zipo kibao na mwisho wa safari unakuwa umemaliza kuisoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom