Mimibaba
JF-Expert Member
- Jul 1, 2009
- 4,557
- 1,291
Lowasa is the best, not sure about Mrema
Alianzaia ukurugenzi AICC akakwapua fedha za World Bank kwa ajili ya ujenzi wa barabara za wakazi wa AICC. Njoo jionee barabara zilivyo AICC kijenge kwa sasa. Yaliyojiri baada ya hapo unayajua.
Ni adict wa utajiri asiyejali mstakabali wa wananchi ambao wamejisalimisha kwa uongozi wa watawala kwa kutegemea watagawiwa sawa raslimali za taifa.
Kashfa alizo nazo pamoja na mkulu wa kaya ndicho chanzo ambacho wote tunashuhudia kipindi cha maumivu, magumu na machungu ya maisha katika nchi yetu. Kwa msingi huo una maana JK pia ni the best leader ever in tanzania.
Ni mzandiki, mnafiki aliyejivisha ngozi ya kondoo wakati yeye ni chui mawindoni (Urais) kwa gharama yo yote ili akwapue.
Ushauri
Ungeweka vigezo/viashilia vya "best leaders ever" in tanzania tungeweza kufikia mahali tukawa na muafaka.
Kwa vigezo vya uadilifu, utendaji wa kimaslahi kwa taifa hao wote Mrema na Lowasa ni janga la taifa huwezi kuwalinganisha na Sokoine wala Mwinyi