The best decision by MAGUFULI government so far..

Medicci

JF-Expert Member
Dec 26, 2016
554
1,000
INASHANGAZA PALE AMBAPO WANANCHI HAWAONI MAMBO MAZURI YANAYOFANYWA NA MAGUFULI. The best decision so far by MAGUFULI government is kulazimisha makampuni ya mawasiliano kuwa public(FORCED INITIAL PUBLIC OFFERING).
Angalau baada ya compliance yatatokea haya...
1. Increase of oversight on quarterly financial reporting standard.
2. Increase on revenue collection
3. Transparency on both members/shareholders and company management.
Kwa hilo Hongera Mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom