The Best Car ever made according to Top Gear!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Kwa kweli hapa nakubaliana nao kabisa hata mimi hakuna version ya BMW ninayoikubali kama hii kumbe sikuwa peke yangu lkn mimi ukiniuliza the best car ever made nitasema ni Mercedes Benz W 124, hiyo kwangu mpaka leo hii haina mshindani!

5-series-lead-xlarge_trans++rXhEI-4tSWVCR5BednaDScrVeeWqABov_5ylejrxOXQ.jpg
5-series-rear-large_trans++no6FVgOZ3E97swyr8fw2hswqE8JWkiEaiEF_OAOWeYs.jpg

Mercedes E class hii kwangu ndiyo Best car ever made!
1280px-1992_Mercedes-Benz_500E_%28W124.036%29%2C_front_right.jpg

220px-W124_Interieur_MB_Tex.jpg

1280px-Mercedes_W124_rear_20080228.jpg

1280px-MB_W124_CE1.jpg

1280px-E_220%2C_Baujahr_1994%2C_MoPf_2.jpg

1280px-Mercedes-Benz_A124_rear_20110611.jpg
 
Mtoa mada asante kwa posti, ila ina kaujinga fulani hivi.
Gari zote ni left hand.
Na hiyo ground clearance makes it obsolete for African roads!
Ni sawa na kusifia keki kati ya wala chapati.
 
Mtoa mada asante kwa posti, ila ina kaujinga fulani hivi.
Gari zote ni left hand.
Na hiyo ground clearance makes it obsolete for African roads!
Ni sawa na kusifia keki kati ya wala chapati.

Nimeandika kwa ujumla yaani gari ambayo Top Gear wanasema kwao ndiyo best car ever made ni hiyo Model ya BMW 5 series na mimi kwangu ingawaje pia naikubali hiyo BMW lkn best car ever made kwangu ni hiyo Mercedes Benz W124 na haijalisjhi kama usukani uko kulia au kushoto! Hizo picha nimechukuwa tu kwenye internet!
 
Mercedes kiujumla ni gari tamu sana. Mie napenda zaidi W140 ndio naona ipo very comfortable na ina very smooth acceleration.
 
Kwa upande gari alizotengeneza vizuri ni land cruiser hardtop ( mkonga), Toyota DCM ( hizi gari zina roho ya paka
 
Kwa upande gari alizotengeneza vizuri ni land cruiser hardtop ( mkonga), Toyota DCM ( hizi gari zina roho ya paka

Land cruiser hard top zimekuwa zikikimbiza Mwenge Nchi nzima Miaka kibao lakin bado ziko Vizuri

Toyota DCM kwa zaid ya Miaka 20 zinaendeshwa na Wavuta Bhangi wa Mbagala na Gongolamboto na zinachezwa rangi zote lakin bado zipo tu!
 
Kwa gari ya kutembelea, corolla limited na rav 4 old model ya mwaka 1996 ni gari nzuri sana

Ila DCM kiboko mno,nafikiri waliweka engine ya canter
 
Merc.W124 ni tamu,hata ukikata kona ile behaviour ya tairi zake huwa naipenda sana,huwa ina-turn na ku-tilt kidogo kitu kinachoifanya ivutie zaidi,hiyo W140 mimi nilizipenda zilipoingia ila zikichuja zinapoteza sana,nahisi ni kwasababu ya body yake kuwa kubwa.
 
Back
Top Bottom