Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Hii avg niliyoweka nascan online....inawezekana kuscan nikiwa disconnected na Internet?..kuwa mwangalifu na online scans!unaweza pata vitu usivyovipenda!au pc yako ikawa installed na malware
Hii avg niliyoweka nascan online....inawezekana kuscan nikiwa disconnected na Internet?
Nashukuru Mkuu,Mwanzoni nilikuwa natumia avg nikapata wazo toka kwa wataalam kuwa avg sio bomba sana haini trojan sana.
Wakaniambia nitumie Kaspersky(ni ngeni kwangu) ile kuweka tu PC ikawa slow sana virus wakaanza kushambulia
Nilipomuuliza mtalaama vipi,akaniambia imewakurupusha ndio maana wanaonekana sasa.
Mwishowe nikaamua kuitoa na kuistall window upya(XP) na kurudisha avg free vision nilidownload toka kwenye site yao.....ina work properly lakini still pc iko slow.
kama yahoo messenger bado ina virus.....alafu nikiweka flash disc kidogo pc inakuwa fast na mafile ya java yanafunguka faster nikiitoa tu mzozo......