Mkuu kwa sasa hivi soc (processor) yenye nguvu na kutunza chaji sana inaitwa snapdragon 625 fumba macho tafuta yoyote ya snapdragon 625 ujue una mtambo wa kukaa na chaji.
Mfano angalia hii ni lenovo p2 yenye snapdragon 625 na 5100mah battery kwa sasa ndio inakaa na chaji zaidi duniani (gsmarena test),
tegemea simu nyingi za 2017 kutumia hii soc, hata galaxy j7 ya 2017 itatumia hii.