The beauty of the sky

Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
6,816
8,664
Habari za muda huu,

Mwezi huu wa kumi na mbili anga limerembwa sana na jinsi nyota zinavo jipanga is magical. Usiku wa mwezi huu umepambwa na constellation ya orion, combination of the most beautiful and pretty stars kukiwa na doti kati kati ya belt yake ijulikanayo kama supuergiant.

Usiku wa leo angalia juu unaiona, binafsi orion is the most beautiful. constellation in the world.

il_570xN.2630304023_cs3f.jpg
download (3).jpeg
con_ORI_000.png
 
angalia anga usiku wa leo hii picha hapa chini utaiona live kwa macho yako ya nyama.
il_570xN.2630304023_cs3f.jpg
 
Back
Top Bottom