Mkuu sisi ni mahodari wa majisifu lakini ubavu wa kwenda hatuna lakini mzungu anatoka ulaya anakuja kupiga kambi na vipesa vyake vya baraka na siyo vya kwetu ambavo vilo pigwa laana wala baraka havina
Lakini nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 90 nyakati za kiangazi mlima ulikuwa unamaliza theluji yote lakini ikifika nyakati za masika na baridi ilikuwa inarudi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.