Ndio ukaamua ukaibadilishe mara moja! hahaha kazi kweli kweli
Nimeacha kuwa vululu vululu bana
Ndio ukaamua ukaibadilishe mara moja! hahaha kazi kweli kweli
watoto wakinibeba wakanipeleka movie mlimani city huwa naishia kusinzia,sinema moja tu niliipenda ilitoka wakati wa kampeni za Obama inaitwa..'dude where is my country?'nilicheka mpaka basi.Mkuu sometime unajikumbushia ulimwengu unaendaje kwa kuangalia movies mbalimbali mpya na za zamani
Maana sometimne dailoy routine inachosha au ukiwa mbali na familia mkuu movie ni nzuri sana haswa comedy
Hamna cha trendy....swala ni interest!!
Interest za wanawake na za wanaume hazifanani...namna ya wanawake na wanaume kufikiri haifanani....ndo maana unaona utofauti mkubwa!!
Hata wadada sio wote wenye avatar zinazohusiana na urembo au wakaka wote wenye avatar zilizokaa ''vululu vululu'' kwasababu tunatofautiana!
Nimeacha kuwa vululu vululu bana
usimchezeee chatu...oh chatu eh.......
watoto wakinibeba wakanipeleka movie mlimani city huwa naishia kusinzia,sinema moja tu niliipenda ilitoka wakati wa kampeni za Obama inaitwa..'dude where is my country?'nilicheka mpaka basi.
sioni ki batton cha 'like' lol nani kakichoropoa?
Raha jipe mwenyewe kama alivyojipa Canon na "dembabies" wake :]
Nimeacha kuwa vululu vululu bana
Walimsema sana dogo kuwa kaoa mama mzee ohhh sijui anakimbilia pesa za Mariah
Ila Mungu bana kampa watoto wake wawili hana wasi wasi
Na anakula raha na mke wake
najua you learn a lot from movies na pia bila shaka inakusaidia usiwe na idle time,si unajua idle time huzaa mabalaa mengi?Mkuu movie napenda sana na nina external drive ya one terabyte ina current movies tupu
Na nikiwa na muda napenda sana kuangalia mkuu
Mwanzo nilikua sina avatar nikaambiwa na watu it is not easy kutambua jinsia yangu (still wondering if it was relevant). Baadae nikawa na avatar ya cartoon nikaambiwa haipendezi na hai-express personality. Natakiwa kuweka avatar ya binadam. Then nikaweka hii hapa.
Mbona avatar ya Nyumba Kubwa hamja itaja? I really like it!
Haloo Dearhahaha.... Habari yako baba "mapacha"??? lol (nice one R')
najua you learn a lot from movies na pia bila shaka inakusaidia usiwe na idle time,si unajua idle time huzaa mabalaa mengi?
nyumba kubwa is an exception kwa kweli, na mimi ngoja niweke ya dada Asha Rose Migiro,my idol.Mwanzo nilikua sina avatar nikaambiwa na watu it is not easy kutambua jinsia yangu (still wondering if it was relevant). Baadae nikawa na avatar ya cartoon nikaambiwa haipendezi na hai-express personality. Natakiwa kuweka avatar ya binadam. Then nikaweka hii hapa.
Mbona avatar ya Nyumba Kubwa hamja itaja? I really like it!
Ukisikiza maneno ya watu hutafanya lako dunia hii.
Ishi vile upendavyo, binaadamu huwezi kumridhisha abadan asilan