The beauty and the ugly.

Avatar yangu inaakisi mazingira niliyokulia; maisha ya kijijini utotoni; na hali halisi ya maisha ya watoto wengi sana huko vijijini; yaani nguo ni moja hiyo hiyo; hakuna viatu na kuoga ni mara moja jioni na ukibahatika utapakwa mafuta usoni!
halafu mkuu unakumbuka kuoga ilikuwa mara moja kwa wiki maana mama anabania sabuni,jioni kabla ya kulala ilikuwa ni kuosha miguu tu,maisha haya bana,tumetoka mbali kwa kweli.
 
Kilichokufanya ugune?? Lol! Sikukuu niliilia ungaltd kwa Lizzy, unataka nikupe na ratiba ya x-mass!!
Achana na Lizzy bana,x mass karibu twende zetu tukale nchi Nassau,Bahamas au ka vipi Monte Carlo principe de Monaco.
 
Mi ndo maana sijaweka maana watu wangeiomba waichukue wakawatishe nayo watoto watukutu!Ningekua Hollywood ningepata sana dili ya kucheza horo muvi,wasingepata gharama ya "make up"sura namna ilivyo inatosha!
 
KUna kampeni zinaendelea chini chini nibadilishe yangu.,,,,,nimekataa kata kata
 
Mkuu movie napenda sana na nina external drive ya one terabyte ina current movies tupu
Na nikiwa na muda napenda sana kuangalia mkuu

Baby yanii hii ndio inanithibitishia kabisa kuwa ww na mm ni kitu kimoja........
 
baby wacha tuu napenda sana movies aise
na nikiwa na muda naweza nikaangalia hata movies tano au sita kwa usiku

same as me,ila sasa naona JF ime occupy my time.......kuna wakati nilikua silali kabisa
 
Achana na Lizzy bana,x mass karibu twende zetu tukale nchi Nassau,Bahamas au ka vipi Monte Carlo principe de Monaco.

Tatizo lako we una fujo sana, ungenialika kwenye gongo na komoni basi ningekodi hata ungo wa bibi nije!! Ila hayo ya kwenye tamthilia......akaaa!!!
 
Back
Top Bottom