The Battle of Stalingrad | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Battle of Stalingrad

Discussion in 'International Forum' started by Lole Gwakisa, Nov 19, 2009.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Battle of Stalingrad

  Mojawapo kati ya vita vya kinyama zaidi duniani.

  [​IMG]
  Soviet soldiers lead German pows past
  the Stalingrad grain silo in February 1943.Date17 July 1942 - 2 February 1943
  Hongera Warusi kwa kuadhimisha siku ya leo kushinda vita ya uvamizi toka kwa Adolf Hitler na jeshi lake liliongozwa na Field Marshal F von Paulus wa the 6th Army.
  Fiel Marshal F von Paulus alilazimika kunyoosha mikono na kusurrender baada ya kipigo toka jeshi la Urusi likiongozwa na Marshal Zhukov.
  Katika mapigano yote ya mordern warfare this was a mother of all battles, and Russia triumphed -hongera.


  The Battle of Stalingrad was a major battle of Work War II in which Nazi Germany and its allies fought the Soviet Union for control of the city of Stalingrad (now Volgograd) in southwestern Russia. The battle took place between 17 July 1942 and 2 February 1943,and is often cited as one of the turning points of the war. The battle was the bloodiest in the history of warfare, with combined casualties estimated at nearly two million. The battle involved more participants than any other, and was marked by brutality and disregard for military and civilian casualties by both sides. The German offensive to take Stalingrad, the battle inside the city and the Soviet counter-offensive-which eventually trapped and destroyed the Derman ^th Army and other Axisforces around the city-was the first substantial German land defeat of World War II.
  The German offensive to capture Stalingrad proceeded rapidly in the late summer of 1942, supported by Luftwaffe(Gerna Airforce) bombing which reduced much of the city to rubble. However, the German offensive bogged down in house-to-house fighting; despite controlling over 90% of the city at times, the Wehrmacht was unable to dislodge the last Soviet defenders, who clung tenaciously to the west bank of the Volga River as the weather turned rainy and cold. In November 1942, the Red Army launched Operation Uranus a two-pronged attack on the exposed flanks of the German 6th Army in Stalingrad. This operation dramatically turned the tables, as the weakly held German flanks collapsed and the German 6th Army was cutoff and sorrounded inside Stalingrad. As the Russian winter set in, the 6th Army weakened rapidly from cold, starvation, and ongoing Soviet attacks, but was forbidden to surrender by Adolf Hitler. During December, a German attempt to break the encirclement failed, and subsequently all attempts at supply collapsed. By early February 1943, German resistance in Stalingrad had ceased, and the surrounded 6th Army had been destroyed.
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Lole,

  Kumbe ma history buffs wapo humu ?

  You just revived my interest in "Moscow 1941: ACity and it's People at War" which I capped but haven't had the opportunity to scan.
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa namsoma jamaa mmoja alikuwa anaitwa Desert Fox, Gen. Erwin Rommel, jinsi Hitler alivyomuhadaa kwa kuamua kutumia vikosi vya ziada alivyoahidiwa kule North Africa katika vita na USSR.Nafikiri equation ya vita ya pili ilibadilika baada ya Ujerumani kushindwa pale Moscow.
   
 4. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Tupo sana tu mkuu,hizi major conflicts zinasaidia sana kuelewa thinking ya mataifa mbali mbali.
  Nimefuatilia sana history hizi toka Mkwawa vs von Zeweleski hadi Okinawa.
  Tuko pamoja mkuu
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Na strategies zao pia. Zina lessons sana hizi kwetu pia maana kuna vitu unique katika kila event. Tukumbuke strategies zetu zikikaa sawa we will turn things around!
   
 6. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2009
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  The siege of Leningrad?

  Wajua Hitler na makamanda wake walibishana sana kuhusu strategy ya kuivamia USSR.
  Wapo waliotaka Wehrmacht isonge moja kwa moja Moscow, ili kuteka mji mkuu, kitovu cha nchi, na wapo waliotaka Wehrmacht iende njia tatu, Jeshi moja Moscow, moja Stalingrad, na moja Leningrad. Hatimaye hii ya pili (ya kugawanyika) ndio iliyokubaliwa.
  Vita vyote hivyo, vya Stalingrad, Moscow na Leningrad vilikuwa ni moto mkali. Majeshi hayo makubwa duniani yaliumana vilivyo.
   
 7. J

  JokaKuu Platinum Member

  #7
  Nov 19, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,137
  Trophy Points: 280
  ..vyombo vya nchi za magharibi vinaficha mchango wa Soviet Union ktk vita kuu ya pili.

  ..lakini kama Hitler angeshinda nadhani angetufanya kitu mbaya sana Waafrika.
   
 8. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #8
  Nov 19, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Haswa mkuu,wakati General(wakati huo) Fredierich von Paulus ambaye alikuwa a top notch General anaswaga eastern Europe , magenerali wa Kijerumani walikuwa katika mabishano kuwa nani atakuwa wa kwanza kuiteka Urusi.
  Wakati huo jeshi la Urusi lilikuwa a peasant outfit, mizinga ikikokotwa na farasi!!
  Leningrad ilifikiwa kiurahisi na karibia itekwe,wajerumani hawakutegmea warusi wapigane kufa na kupona kama wanyama kabisa.
  Na hapa ndio tunaweza kujifunza ni vipi jeshi lililo na morali wa kufa mtu linaweza kupigana against all odds.
  Kulingana na history ya conflict hii, kabla ya vifaa vizito kuingizwa mjini Leningrad units za watu watano hadi nane zilifanya kazi kubwa with devastating effect.Katika kila unit kulikuwa na a sharp shooter, two machine gunnists,two rocket launcher troops na commander wa unit.
  The biggest advantage ya unit hii ni very high mobility na hivyo a high kill rate.
  Hata hivyo the biggest coup ni production ya armaments huko Siberia na beyond.
  Warusi walipo jipanga vizuri kwa kutumia vifaru vingi sana aina ya T-34 .Adolf Hitler hakuamini masikio yake kuwa wale peasants wa kirusi waangusha kipigo cha mbwa mwizi!
  Baridi kali , njaa, uchovu na mipango mibaya ya kivita ni matatizo ya Wajerumani yaliyotumiwa vizuri sana na Majenerali wa Kirusi to their advantage
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Nov 19, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,137
  Trophy Points: 280
  Bluray,Lole Gwakisa,Che Guevara,Ndahani,

  ..kuna vitabu vyovyote vinavyoelezea vita hii ambavyo mna-recommend?

  ..history buffs tuko wengi jamani.
   
 10. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Nitajitahidi mkuu ingawaje nimevisoma muda kidogo, lakini kimojawapo
  Twentieth Century Russia by Donald W. Treadgold.
  Kipo kingine nikikipata nita kurushia mzee.
   
 11. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  I have a bias towards biographical accounts.

  Tafuta William Manchester's "American Caesar: Douglas Macarthur 1880-1964" a biographical opus account on McArthur and his campaigns, including WW2 completely mpaka alivyo fall out na Truman kuhusu kuwawashia moto Wakorea.
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Lole,
  Kaka yangu alisomea mji huo ila tayari ulikuwa unaitwa VOLGOGRAD. Alinisimulia jinsi vita kali ilivyopiganwa hapa mjini. Si siku nyingi baada ya kusikia yule Muuza matikiti anayetaka kugombea kuwa Meya wa mji huu, niliingia kwenye internet na kusoma habari za mji huu. Kwa ufupi nimeziweka hapa chini.

  Volgograd katika historia (kama wapenda historia) ilikuwa ni mji mmoja maarufu saana wakati wa vita ya II ya dunia. Kutokana na Stalin kuweka hapa viwanda, na hapa kuwa na reli, barabara na huo mto Volga, Hitler aliona ni mji mmoja wa lazima kuuchukua. Ukiwa mji huo kuna kilima kinaitwa MAMAYEV KURGAN. Ukiwa hapo unaona kila kinachoingia Stalingrad. Hapo Mkuu zilipigwa kugombea hicho kilima huku kilele hicho kikihamahama OWNER wa kilima hicho. Inasemekana huo mlima uliacha hata kuota nyasi kwani kilima chote kilikuwa kimejaa VYUMA. Watu karibu 2 milions walikufa katika kugombea mji/Mlima huo. Kuna siku zilikuwa zinapigwa na kilima kinabadili owner kwa siku hata mara mbili. Kitu cha kusikitisha ni wakati wanajeshi 10,000 wa Kirusi walienda na kuanza mashambulizi kuchukua kilima na hadi wanashinda, wote 10,000 walikuwa wamekufa. Ni wale waliofuata ndiyo waliweza kukikalia.
  Ili kuweka kumbukumbu, Warusi walijenga SANAMU ambayo mwaka 1967 ndiyo ilikuwa ndefu kupita zote duniani na wanaiita "The Motherland Calls". Ina urefu 85m na kile KISU peke yake kina urefu wa 33m. Ukitaka zaidi waweza kusoma kwenye wikipedia na utaona picha ya PANORAMA kutoka kwenye kilima hicho.
  Na Ahhh, yule dada wa kuruka JUU yaani YELENA ISINBAYEVA (Pole vaulting) ni mtoto wa mjini wa Volgograd.
  Sanamu la "RODINA MAT, ZOVYOT" kwenye kilima cha Mamayev Kurgan.

  [​IMG]

  Kama wewe ni MVIVU na hutaki kusoma, basi waweza kuangali hii VIDEO hapa chini. Imeelezea zaidi juu ya hiyo vita na hiki kilima. Hilo sanamu, wakati limejengengwa mwaka 1967, ndiyo ilikuwa sanamu kubwa kuliko lote duniani. More information mwaweza pia zipitia Wikipedia.

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=SoSXcsRv5fY[/ame]

  Jengo linaloonekana hapa Flour mill, ndiyo jengo pekee lilibaki limesimama katika mji wa Stalingrad. Mjinga Joe Stallin aliwapa Wahandisi wa ujenzi MIEZI MITATU, aone mji umesimama. Baada ya miezi mitatu kweli mji ulisimama. Ndiyo maana wengine wanasema Stallin alikuwa ni Rais anayefaa Russia kwa kipindi kile baada ya vita.
   
 13. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2009
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Mkuu Jokakuu, inabidi kuwa mwangalifu sana kuhusiana na vitabu vya historia, vikiwemo vya kuhusu WWII, kwani waandishi na wanahistoria wa nchi za magharibi wanatia chumvi sana mchango wa nchi zao (Marekani na UK, kwani wanyonge Ufaransa na nchi nyinginezo za Ulaya tayari zilikuwa zinakaliwa na Ujerumani, ilikuwa bado visiwa vya UK na Soviet Union). Italia na Hispania zilikuwa ziko chini ya wafuasi wa Hitler, Benito Mussollini na Fransisco Franco.

  Soviet Union ndiyo iliyobeba mzigo mkubwa kwenye vita hii. Ikumbukwe kuwa Ujerumani, Soviet Union na Marekani ndizo zilikuwa nchi wababe.

  Inabidi kupata habari/vitabu toka pande zote, east (Soviety Union/Russia) & west (US & Germany). Hapo unaweza kupata kitu kamili.

  Si unajua mambo ya misinformation & disinformation?
  Tazama hali ya sasa:
  Leo Marekani wanalalama kuwa mtoto wa Gaddaffi anasikika sana kwao labda anaweza kuwa kiongozi baadaye, wakati huohuo wanam-encourage kibaraka wao Mubarak wa Misri amtayarishe mtoto wake Gamal Mubarak kumrithi urais. Tayari Gamal Mubarak ni Katibu Mkuu wa Chama tawala cha Misri.
  Wanalalamikia matokeo ya uchaguzi Iran, wakati hawataki kabisa uchaguzi kwa vibaraka wao Saudi Arabia, Kuwait, na kufanya chaguzi feki Jordan, Misri na maeneo ya Wapalestina. Kisa wanahofia viongozi marafiki zao (Wafalme, Mubarak & Mahmoud Abbas) hawapendwi na wananchi na watashindwa kwa kura.

  All in all, this uni-polar world is worse.

  Thanks God China is rising. It has now surpassed Germany to become the World's third biggest economy. Next on its sight: Japan, the old enemy.
   
 14. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Safi sana mkuu kwa angalizo,sababu za vita kuu ya pili zilianzia katika mambo ya economic spheres of influence na kwa kweli si itikadi au siasa.

  Je ya leo yanaweza kujirudia?
   
 15. R

  Rubabi Senior Member

  #15
  Nov 20, 2009
  Joined: Nov 30, 2006
  Messages: 174
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kitabu kizuri sana hiki nimekisoma kuhusu hiyo vita ya stalingrad kinaitwa:

  Stalinglad, kimeandikwa na Anthony Beevor.
  This is the best book around.
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Nov 20, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Umenichekesha sana Joka Kuu. Ni kweli, huyu jamaa alikuwa mpenzi mkubwa wa mawazo ya Darwin kuhusu races. na Darwin aliamini kuwa race yetu ni inferior sasa sijui kama tungekuwa na nafasi na Dunia ya Hitler
   
 17. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #17
  Nov 20, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Ntakujulisha ngoja niangalie.
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Nov 20, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  MacAthur was also a very brilliant soldier.Alipokuwa Philipines wakati WW2 imepamba moto, priority ya supplies ya mahitaji ya kijeshi ilikuwa imeelekezwa kuikomboa Europe. That made the atlantic pasific american army in philipines to fell in Japanese hands. In Korean peninsula war he used the same tactic of cutting the supply line of North Korean army, by invading and occupy supply routes, mainly some small islands that were used by North.
  That made his day and infact he wanted to pursue the war further and fell out with President Truman, who feared the escalation of war during cold war times.
   
 19. k

  kilama JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2017
  Joined: Jul 14, 2015
  Messages: 1,412
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  dah mkuu nimepata vitu vitamu kupitia mchango wako wa hii post ya mda mrefu kipindi hiko hata jamii forum siifahamu kabisa. Sina uhakika kama bado upo humu ndani (jamii forum)
   
 20. njumu za kosovo

  njumu za kosovo JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2017
  Joined: Mar 9, 2017
  Messages: 244
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  Germany? daaah niliangalia documentary za masela wa waffen ss hatari kweli kweli hao alafu kuna hao wa u-boats (manowari) maarufu kama kriegsmarine kama niko sahihi kuna panzer division wakiwa na white tiger tank hatari sanaaa pamoja na yote hitler alikua na jeshi nisimsahau jet fighter aces wa nazi anaitwa hans huyo alikua moto kweli kweli mtu mpaka alitunguliwa akakatika mguu akatoroka toka upande wa adui hadi kwa nazi wenzake na alipopona tu bado akawa anarusha ndege duuuh hapo ilikua balaa lakini ndo hivyo imebaki story
   
Loading...