mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Hii ni moja ya vita iliyondoka na maisha ya watu wengi sana.naimani kama hiltler angeshinda vita hii basi dunia ingekuwa in bendera moja tu mpaka leo hii
Nina maswali kidogo mawili,Wajerumani walishindwa kupigana kwenye baridi.Mwenzake mrusi askari wake (Red Army) walikuwa trained kupigana Kwenye baridi kali.Hii ni moja ya factors zilizomfanya Adolf Hitler ashindwe kuichukua Russia.
Wakati vita vinaendelea kulikuwa na vikosi maalumu vya Hitler(mobile killing Squad) au einsatzgruppen vilivyokuwa vinaambatana na wanajeshi wa ujerumani na kazi kubwa Ya vikosi hivi ilikuwa ni kuwazunguka wayahudi, Bolsheviks, na watu wengine Hitler aliokuwa anataka Kuwatokomeza.Hawa watu baada ya kuzungukwa walilazimishwa kuchimba mashimo,baada ya kumaliza kuchimba walikusanywa na kusimama kwenye kingo za hayo mashimo kisha einsatzgruppen waliwapiga risasi na kudondokea humo.
Kuna sehemu moja inaitwa babyar ilikuwa ni miongoni mwa sehemu watu walikuwa wanapelekwa kuuwawa kwa kupigwa risasi na hawa Mobile Killing squad wa Hitler.
Hiki kikosi kilikuwa kinazunguka kuwinda wayahudi,commissars wa urusi na makundi mengine ambayo Hitler alikusudia kuyaangamiza na hiyo ndio ilikuwa kazi yao wao vita vya Germany na Russia vilikuwa haviwahusu
Kikosi hiki kilitoka kwenye kikosi kingine kinachoitwa SS au schutzstaffel kwa kingereza kiliitwa protective squadron au kwa jina lingine Death head Unit. Kofia zao zilikuwa zina icon ya fuvu la kichwa kuashiria wao ni special kwa ajili ya kuua.
Hawa SS men pia walikuwa na kazi ya kusimamia Death camps na Concentration Camps ambazo zilikuwa ni kambi maalumu kwa ajili ya maangamizi ya wayahudi na watu wengine ambao Hitler alikuwa amekusudia kuwaangamiza.
Moja ya facilities kwenye hizi camps ilikuwa ni Gas chamber kwa akiji Ya kuwaua watu kwa hewa ya sumu pia njia nyingine zilizotumika kuwauwa watu ni kuwalaza njaa,kuwafanyia utafiti wa tiba na mateso mengine ya kinyama kama kuwafanyia upasuaji wafungwa bila ganzi.
Miongoni mwa Death Campd za hitler ni sobibor, Treblinka na auschwitz birkenau zote zilikuwa Poland ambayo ilikuwa occupied na Germany.
Inakadiriwa Six million Jews waliangamizwa na Adolf Hitler huku Death camps zikiwa zimeuwa wengi.
Kiongozi ambaye alikuwa msimamuzi Mkuu wa sera za mauji ya Adolf Hitler alikuwa anaitwa Heinrich Himmler na ndio alikuwa Mkuu wa hawa SS (schutzsstaffel) na vikosi vingine vya ukandamizaji kama Gestapo (Germany Secret Police) ambao walikuwa wanaoperate secretly ilikuwa ni kawaida watu kutoweka na kutoonekana wakikamatwa na hawa Gestapo wangekuwa hapa kwetu Mbowe, Mnyika, Msigwa na wengine wangekuwa wameshatoweka.
Hitler was the worsiest dictator of all Time huyu wa kwetu mnamuonea tu kwa kumuita dictator
Nina maswali kidogo mawili,
1.kama Germany alikua hawez kupigana kwenye baridi kwanini alikua anaanzisha vita kipindi cha baridi..?(refer to Operation Barbarosa,the battle of stalingrad)
2.kama baridi ndio ilikua chanzo cha Germany kupigwa kwanini Germany alikua anapiga na anaichukua kabisa baadhi ya miji ya USSR,USSR ndio anafanya offensives kuirudisha miji yake na kumfata Germany mpaka kwake(refer Operation Barbarosa na The battle of Stalingrand)
duuh russia nyoko kapigana na nchi zote izo daaah na bado kaibuka mbabeThe battle of Stalingrad...inasemekana ndio biggest defeat in Germany history na washirika wake(Italy,Hungary,Croatia,Romania) vs USSR
Baada ya kushindwa kwenye operation Barbarosa Hitler akajipanga upya akachukua na marafiki zake na kuja na The battle of Stalingrad,
The battle of Stalingrad ndio ilikua u-turn ya kuanguka kwa NAZI
Hitler akili yake alikua anaijua mwenyewe,kitu ambacho namsifu alikua hakubali kushindwa,japokua kutokukubali kushindwa ndio kulileta mwisho wakehuyu hitler sijui alikua anataka kuifanya nini hii dunia daah