The Bank that listens! Some staff violates this motto

The Bank that listens! Some staff violates this motto

Hao mi sina hata hamu nao nimefungulia acc yangu lumumba miaka kibao natumia bank hii cha ajab nilipikuja tanga kikaz kuchukua pesa amount kubwa ambayo haitoki kwenye atm na nimewaonyesha risit nlotoa kwenye atm balance yangu wakanambia nsubir hadi wawasiliane na nilipofungulia nilienda saa nne hadi kupata pesa saa nane na makato kibao nimeandikiwa fax 4000 cm 5000 penalt overdraw imekatwa 20000 yaani zote nimeorozeshewa noma sana jamaa wanaboa
 
Kuna mwaka mmoja wakati nasoma Ifm reception mmoja niliona ananizungusha nikamtolea uvivu I just say it is this what you call the bank that listen ? My foot aisee nilihudumiwa fasta baada ya hapo
 
Back
Top Bottom