The Bank that listens! Some staff violates this motto

Mkuu2015

Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
65
Reaction score
15
Habari wana JF!

Hakuna siku nimejisikia vibaya kama leo nilivoenda CRDB Oysterbay kwa huduma ya kibenki! Kuna fomu moja ya mahakama ambayo ina ka-section kadogo kanakotakiwa kujazwa na Banker, nako kanahitaji JINA, SAHIHI, TAREHE na MUHURI wa Bank! Just like that! kitu ambacho hakichukui hata dk 5!!!

Basi nikafika pale reception dada mmoja akanielekeza meza husika, nimefika kwenye ile meza muhusika hata hakuniangalia! nime spend kama dk 8 nasubiri, badaye nikaweka fomu yangu kwenye meza na kumuonesha sehemu husika! huwezi amini! mi si mkaazi wa pale ingawa nilifungulia akaunti yangu pale! nimepanda bajaji kufika pale, nimetumia nauli na nina mambo mengi pia ya kufanya kama wateja wengine! ilikuwa mida ya saa tano kasoro asubuhi ila huyu muhusika akaniambia nirudi saa nane kujaza JINA, SAHIHI, TAREHE na KUGONGA MUHULI kwamba eti ana kazi nyingi!!!

Is this what the motto means???! I wish ningeweka suggestion kwenye suggestion box ila at the end wanafungua wenyewe, so no way! Kwakweli I really feel bad and I dont think if will be able kuendelea kuwa mteja wao.

A%20S%20thumbs_down.gif
A%20S%20thumbs_down.gif
A%20S%20thumbs_down.gif
 
The bank that listens...kama ulikuwa hujui maana yke ni kuwa WANAKUSIKILIZA shida yko baaaasi...shughuli inaishia hapo ,they don't act.
 
Habari wana JF!

Hakuna siku nimejisikia vibaya kama leo nilivoenda CRDB Oysterbay kwa huduma ya kibenki! Kuna fomu moja ya mahakama ambayo ina ka-section kadogo kanakotakiwa kujazwa na Banker, nako kanahitaji JINA, SAHIHI, TAREHE na MUHURI wa Bank! Just like that! kitu ambacho hakichukui hata dk 5!!!

Basi nikafika pale reception dada mmoja akanielekeza meza husika, nimefika kwenye ile meza muhusika hata hakuniangalia! nime spend kama dk 8 nasubiri, badaye nikaweka fomu yangu kwenye meza na kumuonesha sehemu husika! huwezi amini! mi si mkaazi wa pale ingawa nilifungulia akaunti yangu pale! nimepanda bajaji kufika pale, nimetumia nauli na nina mambo mengi pia ya kufanya kama wateja wengine! ilikuwa mida ya saa tano kasoro asubuhi ila huyu muhusika akaniambia nirudi saa nane kujaza JINA, SAHIHI, TAREHE na KUGONGA MUHULI kwamba eti ana kazi nyingi!!!

Is this what the motto means???! I wish ningeweka suggestion kwenye suggestion box ila at the end wanafungua wenyewe, so no way! Kwakweli I really feel bad and I dont think if will be able kuendelea kuwa mteja wao.

A%20S%20thumbs_down.gif
A%20S%20thumbs_down.gif
A%20S%20thumbs_down.gif

Huyo jamaa amekusiliza kama motto ya CRDB kisha aka fanya kosa kidogo kinyume na motto kuzungumza na wewe urudi saa 8 kuna hatari wakijua akafuzwa kwa kuzungumza na wewe! Ha ha hahaaaaaaaaa!!

BP
 
December 2014, nilikuwa nahitaji fungua USD acc pale CRDB Lumumba.siku ya kwanza waliniambia cjakamilisha documents..japo tayari nna account hapo for 8 years.Kichekesho kesho yake baada ya kukabidhi docs,wakaniambia kuwa inatakiwa Brela wacertfy docs ndo account ifunguliwe,nikawaambia kuwa tayari nna active acc hapo ya 8 yrs,still wakasema mpaka Brela wacertfy.toka saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana bi mdada aliyekuwa ananishughulikia ananiambia nisubiri Brela awajajibu.nilipofuatilia kwa Karani wa branch director ambaye alikuwa whatsup file lilikuwa bado alijaenda ata kwa branch director... nilipoomba my docs back wakakataa. nikaona isiwe tabu,nikatoka pale nikaenda Benk moja mitaa ya posta in ten mins nikawa nimefunguliwa USD account na remaing docs niliwapelekea kesho yake.
CRDB kimeo nasikiaga ata Alhaj Dangote nae walimletea mapozi akaachana nao.
 
Dah! pole sana ndugu yangu! I wish Dkt. Kimei asome hizi threads! kama wamemchukulia poa hadi Dangote ni hatari...
 
Habari wana JF!

Hakuna siku nimejisikia vibaya kama leo nilivoenda CRDB Oysterbay kwa huduma ya kibenki! Kuna fomu moja ya mahakama ambayo ina ka-section kadogo kanakotakiwa kujazwa na Banker, nako kanahitaji JINA, SAHIHI, TAREHE na MUHURI wa Bank! Just like that! kitu ambacho hakichukui hata dk 5!!!

Basi nikafika pale reception dada mmoja akanielekeza meza husika, nimefika kwenye ile meza muhusika hata hakuniangalia! nime spend kama dk 8 nasubiri, badaye nikaweka fomu yangu kwenye meza na kumuonesha sehemu husika! huwezi amini! mi si mkaazi wa pale ingawa nilifungulia akaunti yangu pale! nimepanda bajaji kufika pale, nimetumia nauli na nina mambo mengi pia ya kufanya kama wateja wengine! ilikuwa mida ya saa tano kasoro asubuhi ila huyu muhusika akaniambia nirudi saa nane kujaza JINA, SAHIHI, TAREHE na KUGONGA MUHULI kwamba eti ana kazi nyingi!!!

Is this what the motto means???! I wish ningeweka suggestion kwenye suggestion box ila at the end wanafungua wenyewe, so no way! Kwakweli I really feel bad and I dont think if will be able kuendelea kuwa mteja wao.

A%20S%20thumbs_down.gif
A%20S%20thumbs_down.gif
A%20S%20thumbs_down.gif

Benki imekuwa imekuwa kubwa imegeuka kokoro unamchukua graduate wa udom sijui mucobs watoto wanadeka hawawezi kufanya kazi under pressure. Hawajui thamani ya mteja wao wanafikiri mishahara na bonus wanazopata hudondoka toka mbinguni kama theluji.
 
Huyo jamaa amekusiliza kama motto ya CRDB kisha aka fanya kosa kidogo kinyume na motto kuzungumza na wewe urudi saa 8 kuna hatari wakijua akafuzwa kwa kuzungumza na wewe! Ha ha hahaaaaaaaaa!!

BP

Tatizo la hii benki inasikiliza tu haiwezi kufanyia kazi yale inayoyasikiliza, kutoa hela ndani ya benki ya crdb si chini ya masaa nane verification ni ishu ni kama kutafuta file mahakamani au ofisi za ardhi. Sijui tatizo ni nini wanashindwa kuweka taarifa za sisi wateja wao online ?
 
Hii ndio tabu ya ajira za kupeana kiukoo na kimkoa. Wafanyakazi hawawajibiki ipasavyo. Mwisho wao CRDB upo karibu..
 
Benki imekuwa imekuwa kubwa imegeuka kokoro unamchukua graduate wa udom sijui mucobs watoto wanadeka hawawezi kufanya kazi under pressure. Hawajui thamani ya mteja wao wanafikiri mishahara na bonus wanazopata hudondoka toka mbinguni kama theluji.

We nae sema tu umekosa cha kuandika kukulupuka kulaumu vyuo vya wenzio sa ulitaka uajiriwe wewe au wa chuoni kwako wengine wasiajiriwe hauna point
Mara nyingi crdb wanachukua graduates wa pale ud waliosoma b'nec
 
Wahudmu wengine wana makusudi na wanaangalia nyuso za watu. Wengine wanataka mpaka uwabembeleze kwanza ndiyo wakufanyie huku wakisema yeye anakusaidia tu. Ungeenda kwa meneja wa tawi angekusikiliza.
 
Pole sana mkuu.
Natamani watu wengi wangepita hapa kusoma huu uzi wako wachukue hatua dhidi ya benki hii.
Sasa hivi wana jeuri kwa sababu wana deposits nyingi wanaringa nazo baada ya kushinda zabuni ya serikali na kuifanya benki hii moja kati ya benki zipishazo mishahara ya wafanyakazi wa serikalini.
The good thing wafanyabiashara wengi washaanza kukimbia sasa hivi kudeal na hiyo benki

Habari wana JF!

Hakuna siku nimejisikia vibaya kama leo nilivoenda CRDB Oysterbay kwa huduma ya kibenki! Kuna fomu moja ya mahakama ambayo ina ka-section kadogo kanakotakiwa kujazwa na Banker, nako kanahitaji JINA, SAHIHI, TAREHE na MUHURI wa Bank! Just like that! kitu ambacho hakichukui hata dk 5!!!

Basi nikafika pale reception dada mmoja akanielekeza meza husika, nimefika kwenye ile meza muhusika hata hakuniangalia! nime spend kama dk 8 nasubiri, badaye nikaweka fomu yangu kwenye meza na kumuonesha sehemu husika! huwezi amini! mi si mkaazi wa pale ingawa nilifungulia akaunti yangu pale! nimepanda bajaji kufika pale, nimetumia nauli na nina mambo mengi pia ya kufanya kama wateja wengine! ilikuwa mida ya saa tano kasoro asubuhi ila huyu muhusika akaniambia nirudi saa nane kujaza JINA, SAHIHI, TAREHE na KUGONGA MUHULI kwamba eti ana kazi nyingi!!!

Is this what the motto means???! I wish ningeweka suggestion kwenye suggestion box ila at the end wanafungua wenyewe, so no way! Kwakweli I really feel bad and I dont think if will be able kuendelea kuwa mteja wao.

A%20S%20thumbs_down.gif
A%20S%20thumbs_down.gif
A%20S%20thumbs_down.gif
 
Hii ndio tabu ya ajira za kupeana kiukoo na kimkoa. Wafanyakazi hawawajibiki ipasavyo. Mwisho wao CRDB upo karibu..

Mkuu uko sahihi. Mwisho wao u ukingoni. Hata mimi pale nilipita pugu road branch nikiwa na case ya kukatwa pesa za loan kinyume na agreement. Yaliyonipata acha tu.
 
Pole sana mkuu.
Natamani watu wengi wangepita hapa kusoma huu uzi wako wachukue hatua dhidi ya benki hii.
Sasa hivi wana jeuri kwa sababu wana deposits nyingi wanaringa nazo baada ya kushinda zabuni ya serikali na kuifanya benki hii moja kati ya benki zipishazo mishahara ya wafanyakazi wa serikalini.
The good thing wafanyabiashara wengi washaanza kukimbia sasa hivi kudeal na hiyo benki

Mi sidhani hata wahusika wakiona Uzi huu kama watajirekebisha!!!,, hata mi nilitaka kufungua account hapo sasa nimeghairi, bora niendelee na NBC mie, alaah watu hadi wabembelezwe, bye bye bye crdb.
 
Hii yote tisa, kumi ni NMB aiseee nilitaka kubadilisha sahihi aisee mmama ananiambia hivi tukiwa tunabadili badili sahihi tutafanya kazi kweli? ikabidi nijiulize yupo pale kunihudumia mimi au? account ya kwake au yangu? hela zake au zangu..customer care bongo inasubiri sana aiseee
 
Mkuu ni kweli kabsa kwa customer care bongo ni xhidaa sana cjui wabongo tuna xhida gani thats y ukienda maotel mengi wameajili wakenya wengi wabongo wana shida sana cjui mabichwa yao yana shida gan
 
Mi sidhani hata wahusika wakiona Uzi huu kama watajirekebisha!!!,, hata mi nilitaka kufungua account hapo sasa nimeghairi, bora niendelee na NBC mie, alaah watu hadi wabembelezwe, bye bye bye crdb.

Mkuu nbc ni shigidaa, pale walishanirudisha kama 4 eti account yangu haijawa updated wkt nmeshai update zaid ya mara 3,nikapiga chin nbc nmerud stanbic kama zaman
 
Back
Top Bottom