Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,321
Mkuu Nonda Huyo ajiitae Nkwesa Makambo ukisoma post zake zote hana akijuacho zaidi ya MATUSI na KASHFA.
Na Hii ni defence mechanism wanayotumia wote wasio na elimu ili basi tu na wao wajibu.
Kutwa kucha ni kutukana tu. Sasa sijui anapata faida gani hapam manake sioni hata wa kumpa "like" hata hao maadui wa UISLAMU pia Wanamdharau kwa Kurudia kashfa na Matusi yale yale.
Hii ndio hasara mkuu.
Sasa fikiria wazee wake wanajiskia vipi kuwa na mtoto sampuli hii.
It is about non theists paradox.
you have not answered my questions
Can you provide the evidences of the existence of God
Is absence of evidence and evidence of absence ? A failure to provide evidence for presence of God turns to be your evidence of no god ?
Don't you have my to think about creations and life ?
God is the creator of all that was you and that you can see, he is the one who fine tubed the world to sustain your life in it. He is writer of your DNA codes
Think for your own
How do you know that?
How do I know what ?
yeah i would like to know how you have arrived to that knowledge?
Which knowledge ?
Islam's paradox. Is Allah a father of Jesus?
Swali la msingi hapo ni hili: WAPI ALLAH KAJIITA AU ITWA "BABA"?Not in the sense you imply. Figuratively, Jesus has put it best in this context: 'I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.'" kama una uwezo wa kuitumia akili alokupa Allah utafahamu nini kinakusudiwa hapo.
Je wewe baba yako ni Mungu au Mungu ni baba yako?
.
Jibu la msingi ni kuwa Yesu ana Mungu na Mungu huyo ndio Mungu wa kila kiumbe.Swali la msingi hapo ni hili: WAPI ALLAH KAJIITA AU ITWA "BABA"?
Ha ha ha ha ha, why are you shrinking the word "MY FATHER". Unaona tatizo la kuzoe kuficha ficha mivitu. Iache aya ikufunze kijana.Jibu la msingi ni kuwa Yesu ana Mungu na Mungu huyo ndio Mungu wa kila kiumbe.
Je Yesu ni kiumbe cha Mungu? Hili ndio lingekuwa swali la msingi.
Najua utaleta longo longo tu kama kawaida yako.
'I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.'
Ha ha ha ha ha, why are you shrinking the word "MY FATHER". Unaona tatizo la kuzoe kuficha ficha mivitu. Iache aya ikufunze kijana.
Wewe kama unakubaliana na hiyo aya, basi nionyeshe wapi katika Quran panaesma kuwa ALLAH NI BABA, ili na mimi nisilimu niwe kama wewe? '
Haya fanya hima NAKATA KUSILIMU.
Jifunze kuhusu TWO NATURES OF JESUS.Kwa ni nini wewe hutaki kuikuza na kuiweka wazi my God?
Unaficha nini? Hutaki wanakondoo wajue kuwa Yesu ana Mungu aliyemwabudu?
Ukweli ambao utawafanya kondoo kutambua kuwa Yesu si Mungu.
Kwa nini hutaki kondoo waliopotea kujua njia sahihi? Utakosa kukusanya sadaka?
Pata faida hapa
Link SON OF GOD - JewishEncyclopedia.com
Ha ha ha ha ha, why are you shrinking the word "MY FATHER". Unaona tatizo la kuzoe kuficha ficha mivitu. Iache aya ikufunze kijana.
Wewe kama unakubaliana na hiyo aya, basi nionyeshe wapi katika Quran panaesma kuwa ALLAH NI BABA, ili na mimi nisilimu niwe kama wewe? '
Haya fanya hima NAKATA KUSILIMU.
PATA ELIMU YA BURE HAPAWewe umeuvaa ukafiri na unajitisha kuuvua hata ukweli unapowekwa wazi mbele yako. Unaogopa kuutizama ukweli na kwa jinsi unavyopenda kukufuru unafumba macho yako ili usiuone ukweli.
Link Jesus: A Servant of God
pia
Haya rudi na longo longo zingine.
Jifunze kuhusu TWO NATURES OF JESUS.
Sasa turudi kwenye swali: WAPI ALLAH KASEMA YEYE NI BABA? Nataka KUSILIMU? Continue Reading
Danganya nafsi yako na wapoteze zaidi hizo kondoo za bwana.PATA ELIMU YA BURE HAPA
Je, Yesu anawezaje kuwa Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja?
**********************************************************************************
Ni nini maana ya muungano wa kimwili na Uungu?
Hili ni swali linalo ulizwa mara nyingi sana, ni kivipi Mungu awe binadamu na au Kivipi Mungu awe na nafsi mbili, "TWO
...See More
Teyari unaanza taratiib kusaliti amri. Hivi kama Allah wako ni akbar, kwanini anashindwa kuwa na Mwana bila ya Mke?Danganya nafsi yako na wapoteze zaidi hizo kondoo za bwana.
Hizi hadithi mnajitungia na kuzirudia rudia na kujiaminisha kuwa ni ukweli?
Hadithi hadithi.
Hadithi njoo, uongo kolea.
Na Adam ambaye hana baba wala mama ana natures ngapi?
Ikiwa Jesus ambaye hana baba lakini ana mama "ana nature mbili"?