Mr.Toyo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2007
- 433
- 117
Tumekuwa tukishudia matokeo mengi ya watawala walokuwa thabiti katika madaraka wakiangushwa kwa kianzio cha maandamano ya raia wao
Miongoni mwao ni Tunisia, Egypt, Libya na nyinginezo ambazo kwa sasa ziko katika hatihati ya kuangushwa tawala zilizopo..
On the other hand naamini kwa wafuatiliaji si geni suala la maandamano yanayoendelea huko USA waandamanaji ikiwemo moja ya madai yao End financial aid to Israel, end occupation of Gaza,
Nini mawazo yako juu ya kinachoendelea katika nchi hizo...?