Wakudatamimi sijaweka hii post ili watu watoe comment nimetoa ili watu watafute na kuangalia wenyewe kwani siwajui wanaoandaa ivyo inapotekea mtu au watu wakitapeliwa au kitu chochote kikitokea ninakuwa siko answerable,napenda kushare anyinfomation lakini siwezi kuwa ajent wa wandaaji natumaini umenielewa .