The Apprentice Africa

houseboy

Member
Jul 22, 2007
39
3
Kuna mtu kanitumia ujumbe kwamba kuna apprentice Africa ambayo inandaliwa na wanaigeria sijui dili au ni usaanii lakini ukita maelezo zaidi nenda google kisha google neno The apprentice Africa utapata maelezo zaidi,
 
Kama una info si uweke hapa?watu wanapost info kamili hapa- no wonder no one is commenting!Watu wengine bwana, kama huna cha kupost kaa kimya!!
 
Wakudatamimi sijaweka hii post ili watu watoe comment nimetoa ili watu watafute na kuangalia wenyewe kwani siwajui wanaoandaa ivyo inapotekea mtu au watu wakitapeliwa au kitu chochote kikitokea ninakuwa siko answerable,napenda kushare anyinfomation lakini siwezi kuwa ajent wa wandaaji natumaini umenielewa .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom