THE AMBASSADOR HAS GONE AWOL

THE AMBASSADOR HAS GONE AWOL

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
635
Reaction score
705
Salam,wanajamvi.
Kwanza it is very unbelievable mpaka dakika hii kwamba,our beloved ambassador has gone awol.Najiuliza maswali mengi sana.Kwanza mpaka dakika hii,yuko wapi?,je ni nini hatma yake,je si atakuwa person non grata,au itakuwaje.Na je vipi mafao yake na kiinua mgongo.Vipi mali zake hapa nchini,vipi watoto na mke wake wako wapi.
Naomba tuyatafakari haya.
WHAT IS THE FATE OF THE AWOL AMBASSADOR
 
Mara ya mwisho kuangalia hiyo filamu ya "Undefeatable hyena" walisema asiitwe balozi.Yatumike majina yake ya ubatizo pekee: Check Bob au Chuck Norris.
 
Back
Top Bottom