The Aim is to Be Rich NOT to Look Rich!

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,371
33,019
IMG_20190517_120110.jpg
 
The cause, unajua kuna matajiri walitaka kufanya vitu vitakavyo badili dunia na pesa zikaja kama matokeo ya kazi zao ndio hawa akina gates, zuckerberg na wengine na kuna watu wanafanya vitu ili wapate pesa waishi luxury life so sababu kuu inayo msukuma mtu kutafuta pesa ndivyo atavo ishi akizipata.
 
Mnashawishika na kudanganyika na vitu kidogo kirahisi sana.

Hiyo yote no show tu, walitaka uamini hivyo unavyoamini, lengo limetimia!
 
Huu utaratibu wa kuandika namba kama kwenye picha ni wa wapi? India? 89,36,87,89,50,000 na si 8,936,878,950,000
 
Huu utaratibu wa kuandika namba kama kwenye picha ni wa wapi? India? 89,36,87,89,50,000 na si 8,936,878,950,000
Ah ah bora umeona..we mtu hajavaa Gucci ila ana nyumba ya million 100 usd halafu kanunua nyumba 4 zinazomzunguka bado unasema hivyo....nenda brunei huko uone mtu anavaa dhahabu mwili mzima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom