The 9th picture 2011 most voted

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933

President Obama waved himself into ridicule at the Open Government Partnership Event at the United Nations on September 20, 2011, in New York. During a group photograph of several world leaders, President Obama offered a solitary wave that accidentally covered the face of the president of Mongolia. Next time, just say "cheese." (Photo by Allan Tannenbaum-Pool/Getty Images)

​
 
Do, Kikwete ndani mshikaji!
 
Kwa nini Kikwete anapenda kusimama karibu ya Obama? Mbona Zuma al;ikaa mbali na Obama?
 
Kwa nini Kikwete anapenda kusimama karibu ya Obama? Mbona Zuma al;ikaa mbali na Obama?

Ukiegemea nundu unaweza kupata mafuta; nadhani anafikiri akiwa karibu ya huyo jaluo anaweza akauza sura na mambo yake yakawa mazuri!!
 
Kwa nini Kikwete anapenda kusimama karibu ya Obama? Mbona Zuma al;ikaa mbali na Obama?

Mkuu, does it really counts kusimama karibu au kutosimama karibu na Obama? Ninayemsikitikia ni Presida wa Mongolia; Sijui aliogopa kumwambia Obama : "Mkuu ondoa mkono wako basi!"
 
Dah, angenyanyua mkono wa kushoto ingekuwa pouwa sana!
 
Mkuu, does it really counts kusimama karibu au kutosimama karibu na Obama? Ninayemsikitikia ni Presida wa Mongolia; Sijui aliogopa kumwambia Obama : "Mkuu ondoa mkono wako basi!"

Hili taifa la Mongolia ni kama haliko ndani ya dunia hii maana halisikiki labda limemezwa na Wachina. Ingawa hawa wamongolia ndio chimbuko la wachina, wajapani, wakorea na wavietnam.
 
Namwona vasco dagama kwa mbaaali. Kasahau kabisa tabu na shida za wananchi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…