Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,461
- 1,448
'Most evil people' Huyo mtume anahusika, hata kama alikuwa anasingizia kutumwa na mungu wake, uovu ni uovu tu hata ukitendwa kwa\ kisingizio cha kutumwa na allah
Inawezekana anakusudia mitume wa siku hizi wanohimiza toa ndugu toa ndugu kwa jina la bwana na mwisho wanawaacha waumini wakiwa hawana hata nauli za kuwarudisha majumbani mwao wakati wao wanaendesha hammer, lexus na magari mengine ya bei mbaya.