The 25 Most Evil People in History

'Most evil people' Huyo mtume anahusika, hata kama alikuwa anasingizia kutumwa na mungu wake, uovu ni uovu tu hata ukitendwa kwa\ kisingizio cha kutumwa na allah

Inawezekana anakusudia mitume wa siku hizi wanohimiza toa ndugu toa ndugu kwa jina la bwana na mwisho wanawaacha waumini wakiwa hawana hata nauli za kuwarudisha majumbani mwao wakati wao wanaendesha hammer, lexus na magari mengine ya bei mbaya.
 
IDD AMIN duh..kweli jamaa alikuwa noma

Mkuu mbona kuna Mhindi mmoja huko Uingereza alikuwa anamsifia sana Iddi Amini kwamba alikuwa na akili sana contrary na yale watu wanayo msema! Mhindi mwenyewe alifukuzwa na Iddi Amini lakini bado anamsifia - anasema wengi walio chinjwa na Amini walikuwa ni enemies wake alikuwa achinji mtu bila sababu, maneno ya jamaa huyo aliniacha hoi!
 
Hapana, naamini hata anaposema 'Most evil people' hazungumzii matapeli, anazungumzia waliomwaga damu za binadamu wenzao, Usiwe na wasiwasi mtume wako si mmoja wao, yeye hajawahi kumwaga damu za watu, hajawahi kubaka watoto na hajawahi kufanya uporaji kwa kutumia majambia. Uwe na amani wewe mtume wako alikuwa mbora wa mitume na mfalume wa amani! Islam!!!???

umevuta bangi ya wapi Arusha, Musoma, Tabora au Mbeya....naona bado una mawenge!!!!!
 
Duuuh!!kumbe watu wameua sana mtu unakuwa responsible kwa vifo vya watu zaidi ya milioni 50?
 
Kim Il Sung
He was dictator of North Korea from 1948 to 1972

If you are going to concoct a dilapidated list, at least get the facts right.

And Vlad of "Count Dracula" fame takes the "prize" over both Stalin and Hitler?

C'mon maan.
 
Amin was forced in exile in Saudi Arabia for the rest of his life. Amin died almost 25 years later in 2003. In that time Amin lived a very peaceful life.

Bahati yake drones program ilikua haijaiva enzi hizi
 
Idi Amin Really was a bad Man, Hope he could come back i would have asked him why he did all those acts
 
ur serious misinformed dude how does people like kim II sung, mao zedong, ayatolla khomeni, genghis khan being the evil people, these are the people who fought for identity of their people, they were not killing for nothing, they fought revolutionary war to liberate their countries from clutches of evil regimes and establish strong state, all of these leaders made their respective countries prosper for ur information!!! dont be fooled by western informations!!!!
 
I envy them all especially Dracula!!the name itself sounded too good to me,I wish I could be the one on the list.
 
Saddam Hussein ameingiaje kwenye hiyo orodha
Sadam Hussein , gadafi,ukiangalia hivi FBI ilivyocorrupt wali plan kuwamaliza bill evidence .wameshfukiwa hili kasheshe la Trump na Russia .They make things up to start a war invade a country .Kuangalia jinsi media so corrupt .Sasa hivi I believe Kennedy’s , Martin Luther king na Malcom x waliuliwa hawa wats na CIA .
 
US government is fully controlled by ILLUMINATI/FREEMASON.This satanic gang played a major role in many assassinations na killings worldwide like Kennedy family,Martin Luther King,Malcolm X,Che Guevara,Hugo Chavez,Princess Diana,Muammar Gaddafi etc.
Sadam Hussein , gadafi,ukiangalia hivi FBI ilivyocorrupt wali plan kuwamaliza bill evidence .wameshfukiwa hili kasheshe la Trump na Russia .They make things up to start a war invade a country .Kuangalia jinsi media so corrupt .Sasa hivi I believe Kennedy’s , Martin Luther king na Malcom x waliuliwa hawa wats na CIA .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom