Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,064
- 22,757
Ha ha haaa Lizarazu, kwa ufahamisho tu ni kwamba katika mchezo wowote ule lengo ni ushindi na ushindi huamuliwa na nani au timu ipi imefunga magoli zaidi ya mpinzani wake kipenga cha mwisho kinapopulizwa. Kusema kwa chenga tumewala au kwa ubabe tumewazidi; yote si kitu kama umeshindwa kufikia idadi ya magoli aliyopata mpinzani wako na hata kama tofauti ni kagoli kamoja tu, umefungwa mchezo, period.Kijana naona uko obsessed sana na curry kiasi cha kuona basketball ni points tu.