Mkuu BAK naangalia First take kuna jamaa anasema kwamba People are afraid to criticize Steph Curry cause he is a golden boy. Anasema Steph can not close out games, he can't take the final shot. Anasema he scored the most meaningless 47 points in game 3 . Naomba msaada wako ku upload hiyo clip mkuu BAK cc Dan Clericuzio. Its exactly what you have been saying @Don Clericuzio
Warriors hatukucheza vizuri,majeruhi yametukost.
And to us "haters" who were with Toronto Raptors since game 1.
Cc: - Nzi, Lizarazu, VeronicaAmadu and those who afraid to express their status but wanted Raptors.
All in all, kilichowaumiza GSWs ni majeruhi.
Asante.Hahaha.... Kila nikisoma maandiko ya mashabiki wa gsw baada ya finals
series kuisha naishia kucheka tu
K.LeonardYou can say it again!
He is just a trash when it comes to NBA Finals!
Samahani Broh...
Performance ya Kahwi kwenye hizi finals ipo hivi:
Game 1: 23 pts
Game 2: 34 pts
Game 3: 30 pts
Game 4: 36 pts
Game 5: 26 pts
Game 6: 22 pts
Average pts per game: 28 pts
Tukija upande wa Curry performance kwenye hizi finals ilikuwa hivi:
Game 1: 34 pts
Game 2: 23 pts
Game 3: 47 pts
Game 4: 27 pts
Game 5: 31 pts
Game 6: 21 pts
Average pts per game: 30 pts
Kwa performance za hawa watu wawili nisaidieni,huenda mimi kuchelewa kwangu kuanza kufuatilia huu mchezo kunanifanya mimi nishindwe kuwa mchambuzi mzuri wa huu mchezo...
1) Performance hii ya Curry ni ndogo..?
2) Kipi kinafanya performance ya Kahwi ionekane bora kuliko ya Curry..?
3) Kama GSW wangeshinda,still Kahwi angekuwa finals MVP,kwa kulinganisha performance zao..?
4) Kama Kwa performance Hii still Curry anaonekana kuwa "garbage" when it comes to championship games,unafikiri nini kinapungua kwenye performance za Curry kwenye finals,especially this year championship games..?
Sorry kwa gazeti..!
K.Leonard
-three finals
-2 mvp awards
S.Curry
-five finals
-0 mvp awards
Naamini kabisa hata ya mwaka huu
ingeenda kwa K.Thompson in case gsw wangechukua ubjngwa
Kama haya maneno yako yangekuwa yana chembe za ukweli, basi tungeona wanashinda h@ta mechi 80 kwenye regular season na wanaenda 16-0 kwenye postseason.You are not true to yourself, right?
Any day any time, hakuna timu ya kuifunga GSWs kama ikiwa haina majeruhi.
Leo tu kama Klay asingeumia game ilikuwa inaenda kwa GSWs.
Personally najua injuries ndizo zimetupa ubingwa Haters.
Unaumiza jamaa. Halafu eti kuliibuka propaganda ya kwamba Curry ni top 5 kwenye best of all time.
This is HUGE!
Anthony Davis trade: Pelicans deal All-Star to Lakers for Lonzo Ball, Brandon Ingram, three first-round picks, per report
I did not want the deal to include Brandon Ingram.
WOW! A very bad trade for Lakers.
BREAKING: Anthony Davis is headed to the Lakers for Lonzo Ball, Brandon Ingram, Josh Hart and 3 1st round picks, including No. 4 overall pick in 2019 draft, per Adrian Wojnarowski