I Ijuganyondo Member Joined Jan 13, 2011 Posts 62 Reaction score 1 Jan 25, 2011 #1 Jamani wanajf nimerealize kwanini mwl.nyerere alimkatalia kikwete kuwania urais 1995 pale chimwaga,mwl.aliona mbali, hv ingekuwaje kama mkwere angeshika nchi tangu enzi hizo?
Jamani wanajf nimerealize kwanini mwl.nyerere alimkatalia kikwete kuwania urais 1995 pale chimwaga,mwl.aliona mbali, hv ingekuwaje kama mkwere angeshika nchi tangu enzi hizo?
newmzalendo JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 1,386 Reaction score 580 Jan 25, 2011 #2 Soma CV ndo utajua. why alitolewa ukuu wa mkoa ktk chama na kupelekwa mikoa ya kusini ktk ngazi ya wilaya
Soma CV ndo utajua. why alitolewa ukuu wa mkoa ktk chama na kupelekwa mikoa ya kusini ktk ngazi ya wilaya
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,855 Reaction score 405 Jan 25, 2011 #3 newmzalendo said: Soma CV ndo utajua. why alitolewa ukuu wa mkoa ktk chama na kupelekwa mikoa ya kusini ktk ngazi ya wilaya Click to expand... Mkuu ebu tumwagie nyepesi nyepesi kuhusu cv yake manake mkwere ana stori kibao huko mitaani.
newmzalendo said: Soma CV ndo utajua. why alitolewa ukuu wa mkoa ktk chama na kupelekwa mikoa ya kusini ktk ngazi ya wilaya Click to expand... Mkuu ebu tumwagie nyepesi nyepesi kuhusu cv yake manake mkwere ana stori kibao huko mitaani.
K Kide Member Joined Jan 23, 2011 Posts 74 Reaction score 15 Jan 25, 2011 #4 mmmh!tena alitupwa hko pande za nachi...ila kwa sasa jamii ishaelemuelewa mwalimu kwa yale maamuzi ya 95
mmmh!tena alitupwa hko pande za nachi...ila kwa sasa jamii ishaelemuelewa mwalimu kwa yale maamuzi ya 95