That's what friends are for Sam

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Good Evening Ladies and Gentlemen,

Missing u a bit,

Kasie got messed up, I woke up and I found him in my room, I stood up with my hangover trying to call back my memories what happened last night, oooh gosh.He was sitting on a chair staring at me with naked eyes, while trying to make myself out of bed, i realize that he was staring at me but not seeing me. I started to ask him in a low voice, how did u get here, what are u doing but he was still taring at me I get puzzled trying to think what to do.

I looked at myself I found that am safe and sound still wearing same clothes I wore last night. I stood up and rush to the washroom, I checked myself and found that nothing happened. Then in lazily voice I asked him to get out of the room I want to take shower. I heard movement as he gets out and I take shower and get dressed then out to the sitting room.

>>>>>>>>> His name is Samson, I used to call him Sam, he was my classmate while we were in university (institute). To be honest Sam loved me a pure love since we were classmate but me, haaaa I was purely openly rude to him and some other times I used him to fulfill my university studies.

After graduation he did not loose hope, he keeps on begging me, he used to tell me Kasie I have this engagement ring for u, when u will be ready I will put it in ur finger and marry u. I was taking his words as a joke and ignore him.One of the weekends as usual, I went out having fun and kula ujana, while I was dancing si nikakutana na Sam, tukasalimiana as usual na baada ya maongezi kila mtu akawq anaserebuka kivyake.

Nikiwa katikati ya dancing kukawa na kundi la wakaka kama 4 hivi siwafahamu nikawa nacheza nao nikachomoka kwenda washroom narudi kucheza kila mmoja anakinywaji mkononi mmoja akaniuliza unakunywa nini nikamwambia maji, coz nilikuwa nshatupia wine za kutosha, maji yakaja nikalipia tukaendelea kudance.

Baada ya kucheza miziki 3 tangu ninywe maji nikaanza kujisikia dizzy, kizunguzungu, nikawa narudi kukaa mmoja wa wale wakaka akanifata kiukweli kizunguzungu kiliongezeka kwa kasi. Niliogopa nilipokaa akili ikamkumbuka Sam nikajua huyu ndo anaweza nisaidia kiuaminifu sasa sijui yupo au kasepa daah.

Yule mkaka aliyenifata kati ya wale wanne kama alijua hali iliyonipata akawa ananishauri nitoke nje niende kwenye gari langu anisaidie kunipeleka home nikawa nasita, akawa kama ananinyanyua kama kwa kubembeleza mie nasita. Akiwqa ananikokota na kizunguzungu changu, naangaza nimuone Sam nimwambie anisaidie, kufika kwenye gari kabla sijatoa funguo wale wenzie watatu wakaja nikaanza kuogopa.

Nikawaambioa naenda washroom, mmoja akanisindikiza wakati sijui lengo lao ni lipi na wao wakiwa wote wananifatilia nikiwa naeleke washroom nikamuona Sam nikamrukia bila kujali mtu aliyekuwa nae. Nikamwambia naomba unipeleke home am not safe here. Yule jamaa aliyenigandfa kunisindikiza toilet akawa anamkataza Sam asinisikilize mie nikampa pochi yangu na kumwambia Sam hawa mie siwajui naomba nipeleke home.

Thank God to Sam, maana nilihisi wanataka kuniibia au kunibaka au kunitena sijui hata sikujua lengo lao. Kutoka nje Sam akaniambia nakupeleka na gari yangu yako naiacha hapa, nikamwambia sawa. Nilipotoka pale sebleni Sam akaniletea juice na soseji aliingia jikoni masikini kaka wa watu akapasha moto soseji kwenye microwave na juice ilikuwa kwenye friji.

Nimemaliza kula Sam hakuongeaananitazama tuu, nikasikia vibaya kuwa nimefanya tabia mbaya, nikamuomba radhi kwa usumbufu niliomsababishia. Akaniambia nimefanya hivi kwakuwa nakupenda Kasie, usipende kutoka club pekeyako na ikibidi usijumuike na watu usowajua ni hatari wanaweza kukuletea kinywaji walichocanganya na dawa kukudhuru.

Kiukweli nikajiskia vibaya nikamuahidi naomba nikae miezi 3 bila kwenda club nikiweza ntaacha nikishindwa ntakuwa nakuomba unisindikize.Sam hayupo humu JF ila kuna watu wanamfaham najua watampelekea taarifa, I think I fell for him and this is not a crush is a fall.Hapa ninamwezi mzima sijakanyaga club ila nikijikubwa nimebanwa nawasha mziki home nachezaaa japo hainogi kama club, and I found myself being decent lady yaani hata mavazi nimebadili.This Sam.

Thanks for caring, THAT'S WHAT FRIENDS ARE FOR

NB: Kama haieleweki ujue umevuta moshi wa shisha ninayopuliza hapa nikiwa naandika

worry out, kasie and sam are fishing around.


Kasie
 
Mmh kuna watu mnapata bahati za kupendwa mnazichezea danadana, dah wenye misemo yao wanasema penda unapopendwa
 
Aisee!! Wanawake noma sana, ma'man Sam katupwa kwenye kwenye Used-zone hivi hivi. I think you think you owe him, rather than fell for him.
 
Fair-weather friends....how I hate them!

When the chips are down none will even hit you up to check up on you.

I'm glad my fair-weather friend detector is always on point.
 

For good time and bad time I'll be on urside forever more that's what friends are for...
Keep shining keep smiling...... That's what friend are for..... Thanks BAK
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Fair-weather friends....how I hate them!

When the chips are down none will even hit you up to check up on you.

I'm glad my fair-weather friend detector is always on point.

NN how r u pumpkin? Sam has trap me can't get out of the boundaries...
 
Mmh kuna watu mnapata bahati za kupendwa mnazichezea danadana, dah wenye misemo yao wanasema penda unapopendwa

Kiukweli si kuwa Nina baati ya kupendwa ila Sam loves me for real....
 
Sasa si umpe hicho anachokitaka .. Kumsifia tu bila jumps nafasi ndio nini .. Unatuzingua

Sitaki kumuumiza moto, nimejipa muda nione tutaishia wapi but I think am falling.... He cares jamani khaa. ..
 
Ikanitokea club moja mwaka jana December, nimekaa baada ya kutoka dancing floor nakunywa "maji ya Ilala". Ghafla katokea dem mkali anapiga Savana. Akauliza kama kuna Mtu mwingine kwenye seat ya jirani, nikamwambia hakuna kaa tu.

Mara story zikaanza na kuendelea, kumbe katoka kwenye birthday ya rafiki yake na alishapiga kilaji huko na si mzoefu wa pombe (anadanganywa na ladha ya utam wa Savana), na bahati mbaya ni binti mdogo. Kufika saa nane usiku yuko hoii, nikamchukua mpaka kwangu, ile nafika getini karudisha chenji. Imenichukua saa nzima mpaka anaingia kitandani na nguo zake.

Guess what happened? Sikumfanya bana, ingawa naona sasa hivi mazoea kama yamezidi :sad::sad::sad:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…