Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,453
- 872,062
- Thread starter
- #41
Ngoja nione hata usiku huuHaha utuletee mapema hicho kisa ase itakuwa inasisimua sana
Hata yule MTanzania aliyekuwa anachukuwa PHD south ilivyoletwa habari ameuawa nilijua tu itakuwa joberg na kweli ameuawa joberg ..kuna matukio kusisimua huko sana