That's 1 beautiful wall

rangi ya nguo waliyovaa imewafanya wakashine
 
Oooh leo naona nina haribu swaumu yangu tu MANI njooo uokoe jahazi, huyo hapo mbele ni aliyewahi kuwa mtalaka wangu Little Angel
 
Last edited by a moderator:
Sijui Mbowe kwanini anakaa kimya, hata Dr.Slaa nae sijaona akionyesha makali yake, chama kimejengwa kwa gharama sana sasa kwanini vijana wanaharibu
Mpwa mimi nasoma masalia huku mwingine kakwapua simu !
 
Last edited by a moderator:
Allien njoo huku tuchague timu za kuchezea!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mbuzi Mzee hii umeipata wapi?, hawa warembo nilikua nawafanyia reharsal ya kuja kwenye JF White Party...hapo ni Chuo cha Urembo huko Barbados....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…