That was so close!!

Labeik Naam...,
YaaRabi, Mungu Mkubwa... Waonaee yaani juwa lawaka mchana kweupe! na majohari yanang'aa, Madhahabu na madini yana meremeta !! yaani Nuru yote hii Kweli usione ! upite tu? mmmh jamami Mungu atupe nini tena!! I really Like mhe. Harufu Hafidhaullah.
Muu BySange sasa hapo ndiyo kwenye kisima cha ilm.. hivyo tuchote maji sasa.....
 
mkuu tonee huruma twahitaji kuendelea kulisikia neno hili adhimu,maana bado hatuja tosheka njaa yatuuma na kiu ya maji yatuandama twahitaji Maneno hayo tueondoe maradhi hayo
Na nyie nioneeni huruma, mbona hamtaki kunipa elimu, sasa mimi mwanafunzi wenu itakuwaje tena
Tupieni mawe hayo
 
Raha ya mawe inatakiwa yatupwe sehemu zote, sasa niwe natoa mimi tu mwanafunzi wenu, haya tuanze kukumbushana sasa,tupeni mawe hayo
 
Maalim, wewe mjanja mjanja sana. Yaani unakwepa hebu tupa mawe hayo.
Nakuhaidi mimi nitakufuata, sababu mimi mwenyewe nataka nipate vitu muhimu, unajua kuna wakati(kwa upande wangu) huwa sioni chochote, ndio maana napenda kutulia pande za MMU
Naitika witu Labeika !! haya zangu hizi rasha rasha lakini kama ulivyo ahidi utimize :-
USIACHE MAWILI HAYA YAKABAKI AKILINI NA MOYONI MWAKO:~

a) WEMA UNAOMFANYIA MTU

b) UBAYA ANAOKUTENDEA MTU.


NA KUMBUKA HAYA KILA MARA:

· UKAAPO KWENYE MAJLIISI YA WATU DHIBITI ULIMI WAKO

· UKAAPO KWENYE DHIFA YA CHAKULA LIDHIBITI TUMBO LAKO

· UINGIAPO NYUMBANI KWA WATU YADHIBITI MACHO YAKO

· UNAPOKUWAMO NDANI YA SALA UDHIBITI MOYO WAKO

DUNIA NI SIKU MBILI TU:

· MOJA INAYOKUPA USO NA NYENGINE INAYOKUPA KISOGO

· SIKU DUNIA ITAKAPOKUPA USO USIINGIWE NA WASIWASI

· NA SIKU ITAKAPOKUPA KISOGO USIKATE TAMAA

· KWANI YOTE MAWILI HAYO YANA MWISHO WAKE

· KUNYOOSHA MKONO KUTARADHIA KWA ALLAH "SW" KUNAKUPA IZZA NA UTUKUFU

· KAMA MOLA ATAKUPA NI REHMA NA KAMA HATOKUPA KUNA HIKMA

· KUNYOOSHA MKONO KUMWOMBA MWANADAMU KUNAKUPA UNYONGE NA MASONONEKO

· KAMA ATAKUPA UTAVUNA MASIMANGO NA MASIMBULIZI NA KAMA ATAKUNYIMA UTAISHIA KUDUNIKA NA KUDHALILIKA

sala la a'Nabii alMustafa SAW.
BarakaAllh~fikum. (blessings to all)


 
Maneno mazuri na makubwa sana, kwani unafikiri hatujui au kuelewa, tatizo udhaifu wa kibinaadamu, sababu kila kitu kiko wazi katika kitabu chetu, hebu tuelekee sura ya 36(YAASIN) , Mambo yote yako wazi hebu niambie wewe mwenyewe, kipi kisichoeleweka hapa chini - Tuanze 60
ALAM AAHAD ILAYKUM YAABANII AADAMA ANL-LAA TAABUDU SHAYTWAANA, INAHU LAKUM ADUWUN MUBIINU
Enyi wanaadamu msimuabudu/mnyekee shetani, kwani yeye shetani ni adui aliye wazi

Tushuke kabisa - 61 Ama kwa lugha nyingine nasema tumalizie

WAANIIBUDUNII HAADHA SWIRAATUN MUSTAQIIMU
Niaminini/niabudini mimi, kwani mimi ndiye njia iliyo sahihi.

Maneno ya Mwenyezi Mungu Hayo



Halafu naomba kama kuna sehemu haijakaa sawa unaniambia, maana kama unavyojua kitabu chetu ukiiacha na chenyewe kinakutoka/kinakuacha. Kusema ukweli Mwenyezi Mungu ndio shahidi, Ni muda mrefu sana siajashika kitabu.
 
AllahuAkbar, nimepokea Ahsant; Bismilaah~MashaAllah, Sahihi kabisa "radhi na kheri za moula zikufikie.. umebainisha vilivyo"
neema BiLaah endelea Kudursu ili ujijazie hazina na uhifadhi ya mustakabali ...You don't know mbeleni huko utatunukiwa tuzo gani...AMIN

Tujenge uraia mwema na ubinaadamu timamu.
 
Mambo mbona yako wazi, hebu turuke AN-NISAAI Sura ya 4 kama niko sawa, tuanze aya ya 1, maudhui ndio yale yale, inatakiwa tumuogope aliyeetuumba, sijui kwani kwanini hatumuogopi Mwenyezi Mungu sisi binaadamu tumeangamia huu umati wa Muhammad ni msiba(INNA LILAH-WAINA ILAH RAAJUYN) , kwanini hatumuogopi Mwenyezi Mungu Hebu tuingie kabisa NISAAI

Aya ya kwanza

YAA-AYUHANASU TAQUU RABAKUMU LADHII KHALAQAKUM MIN NAFSIN WAAHIDA, WAKHALAQA MINHAA ZAWJAHAA WABATHA MINHUKUMAA RIJAALAN KATHIIRAN WANISAA.
WATAQULLAAHA LADHII TASAALUUNA BIHII WAL AR-HAAMA, INNALLAAHA KAANA ALAYKUM RAQIIBA
 
Naomba niwe muwazi, hapa natumia ID ya uwongo ndio maana nina uhuru wa kuwa muwazi vinginevyo mimi sio chizi kujianika. Namuogopa Mwenyezi Mungu siwezi idanganya nafsi yangu.

Ukweli mimi karibia kila siku nakuwa niko ndumu(nimevuta bange)
Sasa unategemea nitakuwa sina akili nishike kitabu kitukufu nikawa stimu.
Na hata mwisho wa wiki huwa napiga maji mara moja moja. Lakini Inshallah nitajitahidi
 
UJUMBE WA LEO (sio wa waimba taarabu)
Namaanisha ninyi the so-called MUSLIMS, to put it bluntly
Nyinyi mmekosa hekima, baada ya kuangalia kitabu chenu QURAAN Mnawaoneo wasiokuwa WAISLAMU, Ndio maana mnatukaniwa Mungu Wenu, Na Mtume Wenu, halafu mnajiita wasomi nasema hivi mkome, kama nyinyi wanaume kweli


Naomba chalenji na nyinyi, mimi peke yangu ninyi njooni hata 10 jipangeni

Vigezo vyangu sitaki mambo ya kukopi na kubandika nataka jino kwa jino kama ninavyoenda sawa na wanangu life is short + bysange

Nakupeni homework mjiandae kesho tunaingia uwanjani, mimi nitacheza na ninyi na naahidi nitakuwa stimu za kufa mtu, halafu muone kama stimu zitakusababisha usiyajue maneno ya Mwenyezi Mungu, ukijua umejua kama kuendesha gari au baiskeli, sio visingizio mimi nina muda sijaendesha gari, mimi ukileta hizo naamini sio dereva.

Natangaza vita na ninyi the so-called MUSLIMS

Nifateni, nawasubirini
 
No sweat!! ProfessaEee kweli una ilm tosha... Hayo widi na steam ni mapito tuu!! yatapita Lakini Mkuu asilia yako ipo palepaele!! Uhakika Mustawaa wako kiwango cha skyline. Wewe jitahidi kama ulivyosema utaacha tu!! Nami ntakombea Dua'a za dhati!.amin Hidaya aitoae na Mwenyeezi Mungu tu... siye twakupenda Lakini uwezo wetu unaLimits. *Allahu yahdi maan Yasha'a}*
 
Kiboko !! Mkuu umebobea ilmu al-kitaab.... Hakuna wa kusogea pande hii.
 
Kiboko !! Mkuu umebobea ilmu al-kitaab.... Hakuna wa kusogea pande hii.
Kinachowachanganya hawa so-called MUSLIMS, neno dogo sana eti KAFIRI, hawajui kuwa maana ya KAFIRI ni wewe the so-called MUSLIM, sio imani ya mtu mwingine sababu hukijui kitabu chako, unakimbilia cha mtu mwingine(PILIPILI iko shamba wewe inakuwashia nini) Naendelea na kitabu chenu(the so-called MUSLIMS)

Hapa kama kumsukuma mlevi, hebu ngoja nijiangushe labda naweza pewa hata penati.
Najidondosha hapa sura ya 109 inaitwa KAAFIRUUNA aya ya 1 hadi ya 6

QULYAA AYUHALKAAFIRUUNA, LAABUDU MAA TAABUDUUNA, WALAA ANTUM AABIDUUNA MAA-AABUDU, WALAA ANAA AABIDUN MAABADTUM, WALAA ANTUM AABIDUUNA MAA-AABUDU
LAKUM DIINUKUM WALIYAADIINI

SEMENI ENYI MAKAFIRI, SITAKIABUDU MNACHOKIABUDU NINYI, NA WALA NINYI HAMTA KIABUDU NINACHOKIABUDU MIMI
NA WALA MIMI SIWEZI ABUDU MNACHOABUDU, NA WALA NINYI HAMTA KIABUDU NINACHOKIABUDU MIMI
NINYI(so-called MUSLIMS) MNA DINI YENU NA MIMI NINA DINI YANGU

Hiyo nfio maana ya KAFIRI sio ile mnayowaonea kila MLALEO

Mtu ameshakuambia ana dini yake kwanini una mbughudhi? Inachekesha sana, ni zaidi ya mtoto anayejifunza kutambaa

Kila wakati utamsikia teh teh teh(wewe unapumuliwa nini) jikaze mtoto wa kiume unajichekesha pasipo na kicheko, jiangalie

ANGALIA MIMI MWANAUME WA KWELI HAKUNA HATA POST YANGU MOJA NILIYOCHEKA, ZAIDI YA KUGUNA TU yaani Hmmm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…