That was so close!!

Al-3aafu !! tusameheane .....
Sawa Swahiiba
Nimefurahi sana, kukutana na wewe, kwa kweli kila jambo lina sababu, kukosa kutia mchango wangu wa kwanza katika huu uzi, tusingeweza kukumbushana mawili matatu.
Mungu akipenda Inshaallah Jumatatu, nitakuwemo humu.
 
hakika huyu bana ni mzito aisee kungekuwa na kipengele humu jf cha kukumbushana mema na kukatazana mabaya basi kupitia mkuu HARUFU tungefaidi sana
 
Last edited by a moderator:
hivi vitu muhimu sana kukumbushana kwakeli kila la kheri mkuu
 
hivi vitu muhimu sana kukumbushana kwakeli kila la kheri mkuu
Nashukuru sana, na nimepata furaha, na faraja pia, kweli kukumbushana muhimu sana, hii dunia mapito, ingawa tuna mapungufu yetu.

Kwa kweli nimefurahi sana, kwa makaribisho yenu hapa jamiiforums, mimi mgeni sijafikisha hata mwezi mmoja, lakini najiona kama mwenyeji
 
Sawa Swahiiba
Nimefurahi sana, kukutana na wewe, kwa kweli kila jambo lina sababu, kukosa kutia mchango wangu wa kwanza katika huu uzi, tusingeweza kukumbushana mawili matatu.
Mungu akipenda Inshaallah Jumatatu, nitakuwemo humu.
Swadikat al-Masduwq... mie nimejifunza jambo !! ambalo lingenichukuwamore thn 3yrs kulielewa ..Nashukuru nimelipata kwako katika kipindi cha madakika kiasi cha kufungua Mpakato na kuutembelea uzi... jamani Sub-hana azza wajala anatupendelea...NA sidahni kama ntakuwacha mie nipo nakufuata nyuma kama mkia hadi niweze kuhitimu ustaarabu ulonifundisha... BarakaAllahfik, Ombi langu dogo mhe.Mkaramu wewe '" yakuwa usinitupe mkuu..mi nipo kama yatima" Moula akuzidishie fadhali na Elmu al-Nafea (yenye manufaa na umma) Amin.
 
hakika huyu bana ni mzito aisee kungekuwa na kipengele humu jf cha kukumbushana mema na kukatazana mabaya basi kupitia mkuu HARUFU tungefaidi sana
Mkuu bySange ubarikiwe mema yaDuniani na Mema ya Akhera.Amin Mie sinilisema huko nyuma kuwa Tumevumbua Mgodi wa hazina jamanieee njooni huku mujipatie utajiri wa Dar-Rainn !! Aisaee huyu ustaadhi si mchezo, Pia mwenzangu bysange nawe upo na Rada za hi-tech maana ulinasa frequencies za miujizo ya Muumba... Mkuu nakutakia kheri, hadhii njema na Moula aweRadhi na mambo yako, Upate watoto wema na wenye elimu yenye kuongoza umma.AMIN
 
Aaamin
 
kwa aliyeshiba inatosha... lakini maneno ya haki !! kwa walio na njaa haitoshi! Ayaa mkuu Bism----

Ukiwepo uhai tu, mimi nitakuwa natembelea hapa, hata kama sio kila siku, hata mara moja moja
 
Ukiwepo uhai tu, mimi nitakuwa natembelea hapa, hata kama sio kila siku, hata mara moja moja
MkuuEee wajua vipi Mkulima anapokuwa akisubiri mvua? huwaga akitazama juu all time!! Sasa nami waniweka ktk hali "?"
Fadhilat Shk, nataka utikise al-ardh wa alSamawati !!
 
MkuuEee wajua vipi Mkulima anapokuwa akisubiri mvua? huwaga akitazama juu all time!! Sasa nami waniweka ktk hali "?"
Fadhilat Shk, nataka utikise al-ardh wa alSamawati !!
Mbona wewe hutaki kuleta habari njema, na mimi nikafaidika
Ujue na mimi nahitaji kupewa vitu vizito, najua wewe mwalimu mzuri ila hutaki kutoa msaada, sasa mwanafunzi wako nitaelimika vipi?
 
Mbona wewe hutaki kuleta habari njema, na mimi nikafaidika
Ujue na mimi nahitaji kupewa vitu vizito, najua wewe mwalimu mzuri ila hutaki kutoa msaada, sasa mwanafunzi wako nitaelimika vipi?
Kawaida nakumbuka shuleni huwa wanafunzi hufika mapema na kufungua geti, mlango wa darasa na kumkaribisha mwl. (sasa mie umenipa ualimu...hivyo anza wewe kamwanafunzi kunilainisha kiasi nichukuwe udhuu na maji yakinitiririka)..... *{ Simauhum fii Ujuihim Min athari Sujuud }* tunatambulika kwa''''''''''''
aya bhana anza!!
 
Mimi hamna kitu mwalimu wangu, hebu niangushie hizo silaha.
Samahani, hivi tunachofanya hapa kwa sheria za humu kinaruhusiwa? Najua mara moja moja sio mbaya kuteleza, lakini sasa naona huu uzi tunafanya maongezi yetu, Maana naona kama tunatoka nje ya katiba. Mimi mgeni hebu niweke sawa
 
Hakuna dhambi, hakuna uhalifu, hakuna kukashifu au kuboa.... Hakika tupo katika mtandao wenye kutoa elimu na kufundisha "Miujiza ya LEO ya ZAMANI na yaTAKAYO KUJA (present past and future) hapa watu wote wapo friendly.
Blessing to all mankind.
Sasa nshakukaribisha tafadhali sisimua Malaika.!!
 
Amina ya rabbil aalamina mkuu sina rada ila basi kuna mambo Mungu aweza kukuongoza bila kujua nilijikuta naisoma hii post kwa kila mchangiaji nikakutana na hazina uliotuitia,
baraka hizi zikufikie na wewe pia kwa kufumbua hazina hii muhimu katika Umma huu.
 
Maalim, wewe mjanja mjanja sana. Yaani unakwepa hebu tupa mawe hayo.
Nakuhaidi mimi nitakufuata, sababu mimi mwenyewe nataka nipate vitu muhimu, unajua kuna wakati(kwa upande wangu) huwa sioni chochote, ndio maana napenda kutulia pande za MMU
 
mkuu tonee huruma twahitaji kuendelea kulisikia neno hili adhimu,maana bado hatuja tosheka njaa yatuuma na kiu ya maji yatuandama twahitaji Maneno hayo tueondoe maradhi hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…