That one amazing joke


wickerman

wickerman

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
394
Likes
23
Points
35
wickerman

wickerman

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
394 23 35
mtu atoe joke au funny story moja matata sana!
mi naanza:

BABA MMOJA ALISKIA TANGAZO KUWA MTU MWENYE WATOTO 10 ANAZAWADIWA ML100.
JAMAA ALIPOSKIA TANGAZO AKAMWAMBIA MKEWE KUWA SISI TUNA WATOTO 9 HVYO MIMI NINAMTOTO MMOJA WA NJE TUKIMWONGEZA WATAKUWA 10. MKEWE AKAKUBALIANA NAE AENDE KUMCHUKUA ALIPORUDI NA YULE MTOTO AKAKUTA WATOTO WOTE 9 AWAPO ALIPO MUULIZA MKEWE AKAMWAMBIA NAO BABA ZAO WALIPO SIKIA TANGAZO WAMEKUJA KUWACHUKUA. JE KAMA WW UTAFANYAJE.
 

Forum statistics

Threads 1,272,320
Members 489,918
Posts 30,447,331