That moment wen u forget your wallet

That moment wen u forget your wallet

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,627
1620758_598125350275835_1530197772_n.jpg
 
Hahaha. Hiyo ni baada ya kuambiwa kuwa mwenye mgahawa ni muarabu mmoja anayejulikana kama ALLY EDHA AWADH baada ya kugundua umesahau wallet!
 
Hahaha. Hiyo ni baada ya kuambiwa kuwa mwenye mgahawa ni muarabu mmoja anayejulikana kama ALLY EDHA AWADH!

Mungu wangu... ! atakavyokukamua na mabaunsa wake then kesho yake ananunua magazeti yote ili habari yako isisikike kama alivyofanya juzi.
 
Au we ni wa upande ule mwingine na umeambiwa chakula ni bidhaa ya Kinana!
 
Thank God kuna mpesa. Ishanitokea hiyo, ingawa haikuwa msosi.
 
Iliwahi kunitokea kwenye daladala hiyo sema nilikutana na konda mwelewa nikachukua namba zake nikamtumia vocha baadae
 
You start to think which thing you should keep as a bond!
 
Iliwahi kunitokea kwenye daladala hiyo sema nilikutana na konda mwelewa nikachukua namba zake nikamtumia vocha baadae

Du nilimuomba konda anishushe kwa bahati alitokea msamaria mwema akanibeba. Hata hivyo sikujisikia vizuri muda wote nikhisi jamaa wanaona huyu mzee kapiga bao!
 
Du nilimuomba konda anishushe kwa bahati alitokea msamaria mwema akanibeba. Hata hivyo sikujisikia vizuri muda wote nikhisi jamaa wanaona huyu mzee kapiga bao!

mi niliongea na konda fresh, afu nikashuka nikatoa hela MPESA nikanunua vocha nikamtumia na nyongeza,,jamaa alikuwa mwelewa sana
 
Umetisha GKM

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Last edited by a moderator:
I think ni Gregory, mshkaji wangu sijamwona kitambo..so im not sure if its really him
 
hii inategemea sana na unapoishi, kama ni uko dunia ya 3 its true u r in a very serious trouble.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom