That awkward moment in an exam...

That awkward moment in an exam...

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
10170990_906775966006698_1300797829691461571_n.jpg
 
Hilo klasi babu kubwa maana naona kuna mnyama wa Mac hapo nyuma...
 
lol!!!! Hahahahaha cheki alivyotoa mimacho yake akijaribu kupata mzoo......anatamani angekuwa na binoculars achukue mzoo kirahisi lol!!!
 
Hahaha chuo ilikuwa mtu kuongeza booklet wakati wewe hujaitumia hata nusu na ndo ushashusha nyanga zote. #Tatizo
 
Hehehe kumbe na weye ndo wale wale. Unakuwaje disappointed wakati hamkukesha wote kusoma. You get beaten fair and square, take your punch with a smile.
haha lazima utamind hapo hujui jamaa akiongeza ana kudissapoint
 
Hehehe kumbe na weye ndo wale wale. Unakuwaje disappointed wakati hamkukesha wote kusoma. You get beaten fair and square, take your punch with a smile.

hahaha i always do kimbembe kwenye results aliejaza two booklet ukute umemuacha mbaaaali au ana sup huwa naonaga huruma kiuongo na kweli
 
Kuna watu wana mbwembwe sana mtu anaeza kuwa anachora michor kwenye pepa ya ya english
 
Back
Top Bottom