The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,165
- 1,420
Mkuu hiyo inaweza kuwa ni moja ya package holes ambazo software developers wanajitahidi sana kuziavoid,na hackers ndio wanaotoa alert kwa developer/s na kuweza kuziondoa kwa kutoa updates ambazo zinakuja kuseal hizo hole/s,nadhani kama kweli litakuwa ni tatizo baada ya watu kuanza kupeleka malalamiko rasmi kwa wahusika hizo package lazima ziwe revised ili kuendelea kulinda personal privacy.Heshima,Kwahiyo MPESA ina-infringe privacy?
No komenti mkuuKwahiyo MPESA ina-infringe privacy?
Duh mkuu unabahati polisi wa kibongo mara chache sana kukubali kufanya kazi kama hizi labda wapate shinikizoMie mwenyewe niliibiwa simu tarehe 19 July mwaka huu nikaipata baada ya wiki 3. Nina ka - samsung S7555 inakuja na hiyo technologia. Siku tatu baada ya kuibiwa rafiki yangu akanambia kuwa kuana namba XXX inatumia simu yangu. Nikaenda kutoa taarifa polisi, polisi wakaoda print out kutoka kampuni ya simu. Baada ya hapo polisi wakazifutatilia namba 2 alizokuwa anawasiliana zao. Baada ya wiki 2 mbili nikaipata simu yangu. Kwa kweli teknolojia hiyo ipo juu ile mbaya