Thanx God,nimechaguliwa UDSM !

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wakuu,nimeona jna langu kwenye list ya udsm,nimechaguliwa bachelor of arts in economics.
 
mbona ciyaoni hayo majina ya waliochaguliwa udsm na tcu inatatizo gani leo!!!!!!!
 
plz jamani tusaidiane hayo majina yapo site ipi!!!??
hayako kwenye site mkuu,ila kama wewe ni mdau hai wa JF jibu ungekua unalo tokea jana jion....fwatilia nyuzi za kwenye hili jukwaa utaziona...ZAID YA YOTE KARIBU JAMII FORUMS JUKWAA HURU ILA JIEPUSHE NA JILINDE NA BAN...
 
mbona ciyaoni hayo majina ya waliochaguliwa udsm na tcu inatatizo gani leo!!!!!!!
nahisi watakua wanaingiza matokeo au ni wale jamaa ambao info zao zimemiss ndo wamejazana kwenye tcu web....ila tungoje naiman hayana mda mref tokea leo!!
 
Hongera bwana mdogo,kafanye kile ambacho jamii na serikali inategemea ukakifanye....all in all congrats
 
hayako kwenye site mkuu,ila kama wewe ni mdau hai wa JF jibu ungekua unalo tokea jana jion....fwatilia nyuzi za kwenye hili jukwaa utaziona...ZAID YA YOTE KARIBU JAMII FORUMS JUKWAA HURU ILA JIEPUSHE NA JILINDE NA BAN...

Junior, mwelekeze
 
289384,xcitefun-201696-xcitefun-161009-xcitefun-congratu.gif
 
kapigemsuli ohoo sisi ngoja tukapige msuli kwenye vyuo vya vipanga(sua),sio udsm kwa walalaji sua ndo kwa wakeshajiiiii
 
huyu mpiga msuli ana akli za kisekondari mno.....sipatii picha akiingia nazo chuo kikuu.......perry tutaftane tukupe madesa.........hongera sana
 
kapigemsuli ohoo sisi ngoja tukapige msuli kwenye vyuo vya vipanga(sua),sio udsm kwa walalaji sua ndo kwa wakeshajiiiii

mnapokosa ud ndo huwa maneno yenu hayo.pole lakn mkuu maisha sio udsm pekee hata uko utakapopangwa kuna maisha.
 
Back
Top Bottom