Wakuu,nimeona jna langu kwenye list ya udsm,nimechaguliwa bachelor of arts in economics.
makamuzi acha mawazo ya kingesengese mimi o-level i form 6 one ivii udsm wanatoa mambo ya ruraldvpt? kama sio sua !
nenda kapate ufaham na maarifa.usikimbie changamoto chuo ni zaidi ya kitabu utakuwa huru ila uckubali kuibiwa uhuru wako b a freeman 2 c thngs in u'r own point of view n make the decion.
udsm ndio kiboko,sua kwa mabwege yanayojidai kukomaa na kitabu kumbe ovyoooo!sua ni washamba watupu hakuna lolote,mtu na div 3 yake ya 17 anajigamba,ulinganishe na udsm,udsm ndio chuo pekee tz ambacho kina wahadhiri wenye uwezo na sifa kimataifa na siyo sua,saut,mzumbe,muccobs,imf,dit,teku wala aru,udsm ni chuo pekee tz,cheki sifa za wahadhiri wenyewe utapenda! Eti saut,ujinga ujinga!
makamuzi, sijui unataka nini, mimi ni noma nimesoma taboraboyz kichwa cha tanzania, alafu punguza bas kufuatilia watuuuu