Thanx God....17 yrs...Still getting stronger

hivi kile kitufe cha thanks kwa nini walikitoa...tutagongeana baadaye...JJ.....umenisoma naona
Nimekusoma sawia....... hivi hommie ushajua kama kasuka msuko gani.......manake thanks zetu zile hazichelewi kuleta ajali....... incase error ndogo ikitokea.
 
Hongera sana, na uendelee na maisha mema na mumeo na mpate kizazi chema. Mwenzenu July 28th ntatimiza 30 years of marriage and still going strong, AlhamduliLllah, na gozi langu moja tu tangu utotoni, halafu linaniheshimu hilo, nimelizidi mwaka mmoja (kuzaliwa).
 
hahahahahaaaaa faizafoxy, kumbe na wewe mkongweeee, gozi lako limetulia? au umelituliza?
 
Hongera mpenzi, ingawa nimechelewa kusoma hii thread lol. Mungu azidi kukubariki wewe na familia yako, ndoa yako ni mfano wa kuigwa
 
Ahsante Maty, nusu niku pm ila nikajua utakatiza tu
 
Back
Top Bottom